Bus la 'Princess Muro' lapinduka na kuua usiku huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bus la 'Princess Muro' lapinduka na kuua usiku huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlendamboga, Mar 19, 2012.

 1. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Basi la Princes muro lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduma limepinduka majira ya saa tatu usiku katika kona za eneo la Senjele wilayani Mbozi.
  Habari za shuhuda aliyepita saa nne kamili eneo hilo anaeleza kuwa ameshuhudia maiti moja ikiwa imebanwa baada ya kuangukiwa na gari hilo, na kwamba majeruhi na maiti zingine zimekimbizwa katika hospitali ya Teule ya Ifisi na wengine kukimbizwa hospitali ya Rufaa Mbeya.

  Progress zitapatikana kupitia vyombo vya habari asubuhi kesho
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mungu awatie nguvu waliopona na majeruhi.
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani! Ajali tena! Poleni wahanga!
   
 4. c

  collezione JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mimi nimeshasema na nitarudia kusema. Haya mambo ya ajali IFIkIE MAHALA WANANCHI TUWE WAKALI. Kwa serikali na vyombo vyote vinavyohusika na usalama barabarani.

  Na tusimsingize Mungu kwenye haya. utawasikia watu wanasema "tunamshukuru hayo ni mapenzi ya allah"... Please jamani tuache huu upuuzi

  Asilimia kubwa ya ajali Tanzania ni ubovu wa magari au uzembe wa madereva. Kila siku watu wanakufa barabarani. hakuna kiongozo anayeshtuka kuzungumzia hizi ajali. Maisha ya waTanzania yako rehani kwenye hivi vyombo vyetu vya usafirishaji.

  Mwaka huu Nimeshapoteza ndugu zangu wawilii, kwenye ajali za barabarani.

  Itafika mahala mtu unaogopa safari. Sasa ndo maisha haya waTanzania tutaishi tukiwa nchini kwetu. Na bado tunajivunia maisha bora kwa kila mTanzania.

  Mwenye akili ataelewa nachosema
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ile mambo ya "car track" itakuja lin hapa bongo?
   
 6. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nilifikiri ulitaka kuuliza speed gavana ziliishia wapi
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Michongo bongo sifongo kwaurongo kuukingo!
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ndani ya miezi miwili tumeshayajadili sana haya mabasi ya muru humu JF nikiwamo mimi
   
 9. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  dah ajali hizi; Mungu utulinde waja wako
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mabasi 2 yaliyopata ajali Princess Muro yapo pale Gereji ya wachina pale Makutano ya Shekilango na Morogoro yanakarabatiwa hili ni la tatu kupata ajali mbaya mwaka huu.
   
 11. ram

  ram JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,201
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Dah! Ee Mungu tunusuru waja wako tunaosafiri kila siku kwa kutumia haya mabasi

  Poleni wote mliopatwa na ajali, Mungu awaponye majeruhi na waliofariki wapumzike kwa amani
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Subiri jamaa afadhiri kampeni za CCM arumeru alafu anaingiza vifaa hivyo bure
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Swali la kujiuliza ni hili; hivi hizi ajali hazina kinga?
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Bus la Princess Muro

  [​IMG]

  Masalia ya damu

  [​IMG]

  Ndo hali halisi ya ajari yenyewe

  [​IMG]

  Mzinga ulikuwa mmoja sijui suka alisinzia

  [​IMG]

  Hapa kabaaaa
   
 15. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haya mabasi vp? mbona SUMATRA hawayafungiii? pale shekilango yapo mawili, moja wamelifunika ili tusilitambue...
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Poleni Wahanga wote pole jamani
   
 17. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  haya mabasi ni uchovu wa madereva kwenda long route au mechanical problems?mbona ndani ya muda mchache yashapata ajali zaid ya moja?who own them?mbona hayafungiwi kama dar express?
   
 18. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,586
  Trophy Points: 280
   
 19. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yethuuu! YEWOOOOOOOOOOMIIIIIII! tz ni sehemu hatari sana kuishi duniani.
   
 20. k

  kaeso JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Madereva wa haya mabasi wanatembea kwa mwendo wa kasi ajabu, sishangai!
   
Loading...