Tujikumbushe Kikwete alivyoshuhudia udhalilishaji wanawake nchini Malawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe Kikwete alivyoshuhudia udhalilishaji wanawake nchini Malawi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Apr 23, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje wa Malawi Etta Banda(aliyepiga magoti, kulia) akimkaribisha rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa staili ya namna yake mnamo Desemba 2010. Inaonekana Kikwete alipenda sana utukufu huu ambao kimsingi ni udhalilishaji kwa mwanamke. Huenda ndiyo maana amerejea Malawi kumzika Mutharika baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe miaka miwili iliyopita.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Huyu mama ndiye rais sasa hivi?
   
 3. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapana siyo huyu rais wa sasa, rais anaitwa Joyce Banda. Ila huyu mama ndio alimreplace rais wa sasa kwenye hiyo nafasi, mwaka 2009. Rais wa sasa alikuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Malawi kuanzia 2006 mpaka 2009. Huyo Etta ndio Waziri wa mambo ya nje mpaka sasa. Naona akina Banda wananyadhifa nene huko Malawi
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mbona ndio mila za huko! Tumeona Wanyakyusa, Wangoni mbele ya mwanaume hufanya hivyo
  Hii picha tulishaijadili
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa mila zetu mwanamke akiniletea maji inabidi apige magoti hadi nimalize kunywa hata kama nitakunywa taratibu huku nikibadilishana mawazo na mtu mwingine; TUNADUMISHA MILA.
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hizi ni mila tu hata aje kwetu mwanamke lazima afanye hivi.
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  NI mila mkuu.
  Mengine tunayakuza mno
  OTIS
   
 8. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Mi mmasai bana, mi mmasai! Nadumisha mila, ile wengine ilishashindwa, mi mmasai bana, mi mmasai! Naruhusu kushangaa, kwa wageni na wenyeji.....!! Rip mr ebbo! We still always remember you!
   
 9. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,070
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Hiii haijakaa sawa kwa kweli, yaani dada wa watu akupige magoti wee mkapa umalize, huku wewe ukipiga soga?
   
 10. S

  Shaabukda Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imenikumbusha zamani tukiwa shule, kupiga magoti ilikuwa ni mojawapo ya 'adhabu'! Anyways, haya mambo ukiyafuatilia sana 'utachanganyikiwa' bure - kuna wengine wanapiga magoti wakati wa kusali kanisani, sijui nao ni udhalilishaji ama vipi?
   
 11. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata kama mila jk anapenda sn umwinyi.
   
 12. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine tuyaache tu, mimi kwetu kina mama watu wazima wananisalimia kwa kupiga magoti. It's traditions tu, nothing more.
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  kwani alilazimishwa kupiga magoti.
   
 14. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Jagermeister sio Jagermaster. Pls!!!!
   
 15. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,272
  Likes Received: 2,047
  Trophy Points: 280
  kama ndo hivyo basi hawa mademu wa kinyakyusa tunawadhalilisha kila siku! kwa kifupi huna hoja ***** wewe!
   
 16. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata sisi wajita tunafanya hivo, inaonekana kwenu mila kama hizi haziko hii ni heshima na malezi bora kwa watoto wa kike.
   
 17. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah we jamaa kule kwetu kusini ndo mila zetu kwa jinsia hiyo hata awe mama mkwe wako(Wangoni/wamatengo), kama haitoshi ukiwakuta shereheni wanagaagaa chini kama nyoka watakufata hadi miguuni, Chezea tamaduni wewe".

  Kuhusu hilo tabasam hapo bado haimaanishi kama linahusika na huko kupigiwa magoti kwa maana yaonekana walikua wanaongea hapo kama sio kupewa salamu sasa matabasam huwa hayazuiliki; hatuna haja kwenda mbali kiasi hicho"
   
 18. m

  missilicious Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna udhalilishaji hapo. Mila nyingi za kibantu zinamtaka mwanamke kupiga magoti kwa mtu anatemuheshimu
   
 19. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  Utakuwa Msukuma tu wewe! Huko hii kitu ni muhimu sana
   
 20. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ni sawa tu.Ila kama alikuwa Wazir afu anapiga goti kama inavyoonesha cyo.Labda kama angekuwa ps analeta ka chai o menyu ni sawa lakn kwa wazir mzima!Jst mtizamo lakn.
   
Loading...