Mabasi yaendayo kasi: DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabasi yaendayo kasi: DSM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Benno, Apr 23, 2012.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vipi huu mkakati wa mabasi yaendayo kasi unaendeleaje? Nimeshangaa kuona vituo vimejengwa maeneo mbalimbali bila njia kukamiloika.
  Baadhi ya vituo vimeanza kuharibiwa hata kabla ya kutumika. Nashindwa kuelewa kwanini vituo vimejengwa kabla ya njia?
  Au ni staili ya ulaji mafungu?
  Chukua chako mapema???
   
 2. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Hao ndio magamba bwana porojo na mbwembwe nyingiiiiiii!!!!!!!!
  angalia ujenzi wa barabara ya Bagamoyo unavoenda hapo ndo utakimbia kabissaaaaaaa.
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Lakini hakika mwisho wao waja!
   
Loading...