Jamani TANESCO! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani TANESCO!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msendekwa, Apr 23, 2012.

 1. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yani mnakata umeme wkt mi naendelea kufuatilia bunge huku nikimngoja waziri mkuu azungumze.
  PM jiuzuru tu, sina suluhu nanyi tena!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mkuu uko wp mi nldhan n arusha tu? hawa tanesco wanamtumikia nan?
   
 3. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Niko Bariadi, saa moja kamili O'clock wamekata.
  Bila shaka ni hujuma, wananchi tusijue wanavyofunika madudu.
  Nimejongea bar ya jirani, ndo naendelea kufuatilia hotuba ya waziri mkuu atakayejiuzuru kwa nguvu ya umma, ht km sio leo bungeni.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Huku imigration umeme wakumwaga
   
 5. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Immigration ya wapi?
  Au kwa yule mbwa wa Sumbawanga mwenye jina hilo aliehukumiwa kunyongwa na mahakama mwaka ule wa 1997?
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  ni maeneo ya Imigration, AICC na Mount Meru mkuu siyo kwenye ofisi zao
   
 7. BAI SM

  BAI SM Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida yao,
   
Loading...