Gharama za internet ziko juu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za internet ziko juu sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mavella, Apr 24, 2012.

 1. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa sasa gharama za internet kupitia mitandao ya simu iko juu sana nashangaa walisema mkongo wa taifa utasaidia kupunguza gharama za matumizi ya simu badala yake imekuwa kinyume. Mimi binafsi nilikuwa sijatumia internet ya airtel kwa muda mrefu kwakweli hawa jamaa gharama zao ziko juu sana.
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  post 33
  likes given 0
  likes received 0
   
 3. mbwigule

  mbwigule JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tusubiri UHURU toka kwa manyang'au wanaoshirikiana na vibaka hawa (Vodacom, Airtel, Tigo, Zantel, TTCL na wengineo) mwaka 2015 kwani kwa sasa ni zamu yao kutanua kwenye shamba hili la mwendawazimu.
  CCM watapaswa kutulipa watanzania kwa kila hujuma wanayotufanyia na kurudisha kila senti waliyotuibia kupitia wezi wa kimataifa hawa baada ya nchi yetu kupata Uhuru wa kweli.
   
Loading...