Naomba msaada wa Audio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa Audio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ALF, Apr 24, 2012.

 1. ALF

  ALF JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Habari wana jamii, naomba msaa wa kuwekewa kwenye mtandao wa jamiiforums Audio/mp3 ya Omar Nundu alipokuwa anajitetea na mjadala wa jana jioni wa bunge. Aweke kama alivyoweka kipande cha Zito kabwe alivyofunguka kuhusu mawaziri wa nishati na madini.
   
Loading...