Wanachuo mkwawa na mfululizo wa matukio. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo mkwawa na mfululizo wa matukio.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SR senior, Apr 23, 2012.

 1. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wanachuo wa chuo kikuu cha elimu mkwawa wameendeleza wimbi la matukio baada ya jana kuvamia wanakijiji na kuwatembezea mkong'oto ucku ktk kile wanachodai kukomesha ukabaji wanaofanyiwa, leo hii wamefunga barabara nje ya chuo na kuweka matuta.....wakidai wanapunguza ajali na kuzuia vifo vinavyoweza kutokana na ajali. Source: mm mwnyewe kutoka iringa.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kumbe nao wababe hakuna ffu huko?
   
 3. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ngoja tuone!
   
Loading...