Naomba majibu ya Maswali hayo

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,065
5,393
Ndufu wanaJF,

Naandaa taarifa fulani hivyo naomba sana sana kwa wadau wenye TAARIFA SAHIHI za vifuatavyo

  1. Tuna upungufu wa vituo nad dispensary ngapi za afya na kituo kiimoja kinagarimu kiasi gani kujenga?
  2. Tunao upungufu wa machine ngapi za xrays, ultra sound, CT scanner(sina uhakika na spelling) na vyote vinagarimu kiasi gani?
  3. Tanzania tuna upungufu wa madawati mangapi nchi nzima na dawati moja linagarimu kiasi gani?
  4. Kusomesha engineer, Daktari, mfamasia, mmoja inagarimu kiasi gani?
  5. Kumtibu mgonjwa mmoja wa HIV/AIDS line two kwa mwaka inagarimu kiasi gani?
  6. Ambulance(sio bajaj) na gari ya zima moja ina garimu kiasi gani?
  7. Jengo moja lenye library na laboratory kwa ajili ya shule ya secondary lina garimu kiasi gani?
  8. Upasuaji mkubwa (the most expensive ) hapa nchini unafanywa kwa garama gani?
  9. Mradi wa stiglers goji garama za uwekezaji ni kiasi gani (total investment costs)?
  10. Mahitaji ya shule za awali za serikali nchini ni madarasa mangapi?
  11. Garama za mradi wa Vitambulisho vitagarimu kiasi gani?

Naomba majibu yawe mafupi tafadhali na naahidi nitaleta kwenu matokeo ya hiki ninachokifanya
kwani kina umuhimu saaaaaaaaaaaaana kwa umma wa watanzania.

Pleaaaase naomba correct information and be precise.

asanteni na naomba ushirikiano
 
Back
Top Bottom