Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Apr 23, 2012 #1 JF, hivi Mch. Mtikila yuko wapi? Mbona sijamsikia kwa siku tele?! Au baada ya kupopolewa na kombeo kule tarime ameamua kuachana na siasa?!
JF, hivi Mch. Mtikila yuko wapi? Mbona sijamsikia kwa siku tele?! Au baada ya kupopolewa na kombeo kule tarime ameamua kuachana na siasa?!
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Apr 24, 2012 #2 rostam ndiye alikuwa anamuweka mjini,..
Elisha Ray JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 325 Reaction score 98 Apr 24, 2012 #3 Yuko kwenye maombi. May be....