Inaniuma sana kwa kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaniuma sana kwa kweli.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfarisayomtata, Apr 23, 2012.

 1. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hivi kwa nini Mwl. hakuwahi kupewa udokta kama walivopewa hawa mapresda wawili wa mwisho, Dr J na Dr. Ben? Maana yule mwingine aliyebaki yy tunamjua vyema. Au Mwl. hakufanya mambo kama wao?
   
 2. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pole mkuu!
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Mwalimu alishapewa PhD nyingi tu. Ila hakuwa mtu wa kutafuta sifa za kijinga kama akina JK. Hata hivyo nafikiri Ben pia hajataka hata kidogo kujikweza na PhD za mezani. Ukikumbuka vizuri ndiye alifuta hata jina la Mtukufu kwa Rais, na kujitahidi kuyapuuza majina yote yanayolenga kumpa sifa zisizo na maana. Ila huyu ndugu yetu wa Msoga wala sijui kama ni ulimbukeni au ni kitu gani. Taabu tupu!
   
 4. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Nadhani ni ulimbukeni kule c maswala ya kitabu hakunaga!
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,135
  Likes Received: 1,217
  Trophy Points: 280
  Jinsi Kikwete alivyokuwa out of touch na reality sitashangaa kama hajuwi anaitwa Doctor, yeye anawaza kesho akiamka aende kumchekea nani.
   
Loading...