Wananchi kuisusia serikali ya CCM

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Serikali ya CCM imewadharau watanzania kwa kusema eti ufisadi uliofichuliwa bungeni ni upepo utapita. Nawatangazia umma wote kuanzia sasa tususie shughuli zote za hii serikali kuonyesha machungu hayo, tusiende kwenye sherehe za muungano wala mikutano yote ijayo ya serikali na CCM mtaona watajirekebisha. Tukinyamaza hadi 2015 tumekwisha nchi hii itakuwa gulio la viongozi kujitajirisha bila kuchukuliwa hatua. Nawasilisha mniunge mkono ili nipate ari ya kupeleka katika vyombo vyote vya habari:tushirikiane kukomboa Tanzania
 
Back
Top Bottom