Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

huyu mkuu alikuwa na imani 100% kuwa atakuwepo lakini katoswa na kupigwa chini,inasemekana amefananishwa mambo yake na naibu waziri wa Nishati na madini!!taarifa kutoka jikoni
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Ngonjera za Mgao wa umeme zilikuwa zinalaghai Watanzania kwa kumutumia Badra Tanesco ambaye alisimikwa na Lowassa na kulindwa na NGEREJA!!!!!!!!!!!!!!!111
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais aliposhauriana na washauri wake sijui walifikiria nini hadi kumfanya MWANDOSYA awe waziri asiye na wizara maalum. Mimi narudia kusema kuwa watawala mbona vipaumbele hamviangalii? Kila siku...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Wassira - Mahusiano Kombani - Utumishi Mkuchika - Utawala bora Suluhu - Ofisi ya Makamu wa Rais Sita - EAC Tesya - Mazingira Nagu - Uwekezaji Bunge - Lukuvi Ghasia - TAMISEMI Nahodha -...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza...
1 Reactions
121 Replies
13K Views
www.facebook.com/AfricanTourism Tourist Spots in Mozambique Mozambique can make for an exciting vacation and those that crave adventure in their trips will want to seriously consider making this...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Binafsi siamini katika utendaji wa baadhi ya wanasiasa ikiwa ni pamoja na wa JK, sasa unapoamua kuwakaribisha wanasiasa kutafakari kuhusu siku ya wafanyakazi, ni wazi watapiga siasa. Mgaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kweli Kikwete anavunja maudhui ya katiba akiwa na macho makavu!! Mawaziri kwa mujibu wa katiba, I stand 2 b corrected, lazima watokane na wabunge. Na ili utambuliwe kama Mbunge lazima uwe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wassira - Mahusiano---------HUYU ANAOGOPWA SANA NA JK ASINGEWEZA KUMWACHA Kombani - Utumishi................SINA WASIFU WAKE Mkuchika - Utawala bora.............FADHILA TU HANA JIPYA Suluhu -...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wizara iliyoongozwa na Hawa imelalamikiwa na kukubali kuwa ina wimbi la wafanyakazi hewa. Mbona hajashughulikiwa? Au kwa kuwa Shemeji?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa walioko Arusha hebu mtujuze kuhusu taarifa za mkutano wa hadhara wa CHADEMA unaotangazwa huko. Je unafanyika lini? Jumamosi au Jumapili hii? Ni akina nani watakuwa wanenaji wakuu na mada ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
-;Felix Mrema alishagatetea wakazi wa eneo la kaloleni Mjini Arusha ambao walitaka kuuzwa na pia wafanyakazi wa iliyo kuwa General Tyre akaondolewa kwa kura ya maoni kugombea ubunge...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waheshimiwa wabunge wametoa track inayoenda kwa jina la "nimepoteza mboni yangu" kwa ajili ya kuhamasisha kumchangia pesa za matibabu msanii sajuki tune clouds usikilize sauti ya Halima Mdee...
0 Reactions
76 Replies
13K Views
soon after baraza kubadilishwa waandishi wamemfuata MAIGE kwa maneno yake amekiri CCM si mama yake wala haimpi kula(emphasis added) je OGG itawala hawa au M4C
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanazuoni Jenerali Ulimwengu anawaasa wanasiasa anasema hivi... Yapo mambo yanayowasumbua wanasiasa, ndani ya chama tawala na ndani ya vyama vya upinzani. Haya ni yale ya kiutawala zaidi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wote watakao husika baada ya mawaziri kuondoka na wachini yake pia wataondoka Wasira, lukuvi, nagu, ghasia, sita, nahodha, magufuli, mwinyi, kawambwa, sofia simba, membe, chikawe, nchimbi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mi mgeni ar leo nimeelekezwa nipapande gari za Ngaramtoni ila kila gari yenya mstari wa rangi hiyo wanasema kwa idd nnakuwaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jk anatangaza baraza la mawaziri sasa,redio sauti ya injili,na TBC1
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wakuu ,najuwa wengi wenu mko busy na hilo baraza lenu ambalo kwangu naona c chochote naomba mnijuze hukumu ya J Mnyika iko vipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
punde si punde mkuu wa kaya atataja mawaziri source Mwananchi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…