Baraza Jipya la Mawaziri kama lilivyotangazwa na Rais Kikwete leo (kwa Kifupi);

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
[h=6]Wassira - Mahusiano
Kombani - Utumishi
Mkuchika - Utawala bora
Suluhu - Ofisi ya Makamu wa Rais
Sita - EAC
Tesya - Mazingira
Nagu - Uwekezaji
Bunge - Lukuvi
Ghasia - TAMISEMI
Nahodha - Ulinzi
Simba - Jamii
Magufuli - Ujenzi
Muhongo - Madini
Kawambwa - Elimu
Mwinyi - Afya
Mgimwa - Fedha
Kagasheki - Utalii
Katiba- Chikamwa
Matayo - Mifugo
Mbarawa - Mawasiliano
Mkangara - Habari
Tibaijuka - Nyumba na Makazi
Kabaka - Kazi
Chiza - Kilimo
Maghembe - Maji
Mwakyembe - Uchukuzi
Fenela - habari
Kagasheki - maliasili
Mgimwa - Fedha
Kigoda - Viwanda na Biashara
Mwakyembe - Uchukuzi,
Chikawe - Katiba na Sheria,
Kawambwa - Elimu , Utamaduni na Michezo
Nyalandu - Naibu Waziri Maliasili
Nchimbi - Mambo ya Ndani
Membe - Mambo ya Nje
Mwandosya - Asiye na Wizara Maalum
Mgimwa - Fedha
Kagasheki - Utalii
Mkangara - Habari

Manaibu Waziri

Kitwanga- Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya waziri Mkuu - Hakuna mabadiliko
Makongoro- Kazi
Malima - Kilimo
Pereira Silima - mambo ya ndani
Teu - Viwanda
Ole Nangoro- Mifugo
Benson - ujenzi
Mahadhi - Nje
Medeye- Adrhi
Ummy - Maendeleo
Mulugo - Elimu
Lazaro - Maliasili
Rashid - Afya
Simbachawene - Nishati
Mkuya - Fedha
Makamba - Sayansi
Tizeba - Vijana
Mahenge - Maji
Masele - Madini
kairuki - Katiba
Mbeni - Fedha
[/h]
 
Haya tuone na mabadiliko kwenye maisha ya watz sasa...vinginevyo itakuwa kupoteza muda tu
 
Sasa kinachotakiwa mawaziri waliodaiwa wezi wawajibishwe na siyo kuishia kuwang'oa madarakani tu
 
Wassira - Mahusiano
Kombani - Utumishi
Mkuchika - Utawala bora
Suluhu - Ofisi ya Makamu wa Rais
Sita - EAC
Tesya - Mazingira
Nagu - Uwekezaji
Bunge - Lukuvi
Ghasia - TAMISEMI
Nahodha - Ulinzi
Simba - Jamii
Magufuli - Ujenzi
Muhongo - Madini
Kawambwa - Elimu
Mwinyi - Afya
Mgimwa - Fedha
Kagasheki - Utalii
Katiba- Chikamwa
Matayo - Mifugo
Mbarawa - Mawasiliano
Mkangara - Habari
Tibaijuka - Nyumba na Makazi
Kabaka - Kazi
Chiza - Kilimo
Maghembe - Maji
Mwakyembe - Uchukuzi
Fenela - habari
Kagasheki - maliasili
Mgimwa - Fedha
Kigoda - Viwanda na Biashara
Mwakyembe - Uchukuzi,
Chikawe - Katiba na Sheria,
Kawambwa - Elimu , Utamaduni na Michezo
Nyalandu - Naibu Waziri Maliasili
Nchimbi - Mambo ya Ndani
Membe - Mambo ya Nje
Mwandosya - Asiye na Wizara Maalum
Mgimwa - Fedha
Kagasheki - Utalii
Mkangara - Habari

Manaibu Waziri

Kitwanga- Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya waziri Mkuu - Hakuna mabadiliko
Makongoro- Kazi
Malima - Kilimo
Pereira Silima - mambo ya ndani
Teu - Viwanda
Ole Nangoro- Mifugo
Benson - ujenzi
Mahadhi - Nje
Medeye- Adrhi
Ummy - Maendeleo
Mulugo - Elimu
Lazaro - Maliasili
Rashid - Afya
Simbachawene - Nishati
Mkuya - Fedha
Makamba - Sayansi
Tizeba - Vijana
Mahenge - Maji
Masele - Madini
kairuki - Katiba
Mbeni - Fedha

nimefurahia ile combination ya Magufuli na Mwakyembe ni wizara zenye kufanana kazi
big up prof. Tiba
Mh.Membe
mh Janauary

na mawaziri wengine woote pigeni kazi tuinyanyue TZ yetu na tuwaache wenye kutubeza. please Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa
 
sasa kinachotakiwa mawaziri waliodaiwa wezi wawajibishwe na siyo kuishia kuwang'oa madarakani tu
kama nilielewa vizur jk alisema kuwaajibisha wale wote ambao wamehusika katika ubadhirifu ila kuhusu adhabu ya mawaziri sikumuelewa
 
naona bado baraza halijatulia kwa kuwa wazembe kama mkuchika na malima wamerudishwa tena. labda hakuna mwadilifu zaidi yao? nawasilisha wadau.
 
Wapi mpiganaji mwanri??? Angemtoa malima akampa nafasi mwanri... Najua kwa malima kalipa fadhila.. Mwanri alitakiwa awepo... Hapo kachemsha...
 
Kama kawaida ya Serikali yetu, baraza limeongezwa ukubwa; Kabla Mawaziri 29 manaibu 20 plus waziri mkuu: Leo Mawaziri 30 Manaibu 25, plus Waziri mkuu:
Mbinyo wa matumizi serikalini uko wapi?????, je kuongeza ukubwa wa serikali utaendana na kasi ya utendaji na uthibiti wa raslimali?????????????????????
 
nimefurahia ile combination ya magufuli na mwakyembe ni wizara zenye kufanana kazi
big up prof. Tiba
mh.membe
mh janauary

na mawaziri wengine woote pigeni kazi tuinyanyue tz yetu na tuwaache wenye kutubeza. Please mungu ibariki tanzania, mungu ibariki africa

acha ufinyu wa mawazo, haihitaji degree kufikiri, wasira na nchimbi watapiga kazi gani? Inatakiwa ubunifu,( strategic leader) hili si baraza jipya ila amebadilisha baraza, lingekuwa jipya kama sura zingekuwa nyingine zenye mentality tofauti,
 
Mkuchka ,Maghebe ,Malima na Chiza,Wangepigwa chni wakawaacha watu kama Akina Mwanri.Lakni ngoja wawepo wepo 2015 cyo mbali kivile.
 
Kama kawaida ya Serikali yetu, baraza limeongezwa ukubwa; Kabla Mawaziri 29 manaibu 20 plus waziri mkuu: Leo Mawaziri 30 Manaibu 25, plus Waziri mkuu:
Mbinyo wa matumizi serikalini uko wapi?????, je kuongeza ukubwa wa serikali utaendana na kasi ya utendaji na uthibiti wa raslimali?????????????????????
Kulikuwa hakuna haja ya kuunda baraza kubwa kama hili,kinachonekana hapa ni kuongeza ufujaji wa fedha za walipa kodi ilikhali maisha yakiendelea kuwa magumu
 
Wizara ya fedha imepwaya sana!!!Ni combination isiyo na experience na full of technical incompetence!!!
 
Mi watanzania wenzangu sitegemei mabadiriko kwani kiongozi wao akiwa yule yule mizengwe P. hakutakuwa na tofauti kwani sio kiongozi bora bali ni bora kiongozi. kwa hiyo tutarajie badiriko lingine kabla ya 2015.
 
Hata kama wangewekwa malaika, kama kiongozi wao hauna uwezo wa kuwaongoza na kuwawajibisha wanapokwenda sivyo; kuvurunda kutakuwa palepale tu.
Hata nyumbani, kama baba hutumii ubaba vizuri kuongoza familia yako lazima ipotoke
 
Mh!Wadau mimi pastor wenu sijaona mabadiliko yeyote ya kutufaa.Nilitaka vichwa vyenye uchungu na maisha yetu.Tuombeane!!
 
Back
Top Bottom