Mambo muhimu ktk hotuba ya mabadikiko ya baraza la mawaziri by JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo muhimu ktk hotuba ya mabadikiko ya baraza la mawaziri by JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dosama, May 4, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wote watakao husika baada ya mawaziri kuondoka na wachini yake pia wataondoka

  Wasira, lukuvi, nagu, ghasia, sita, nahodha, magufuli, mwinyi, kawambwa, sofia simba, membe, chikawe, nchimbi, mathayo, kabaka, mbalawa, tibaijuka, chiza, maghembe, mwakyembe, mukangara, kagasheki, kigoda, mkimwa, mwandosya,

  manaibu

  Kitonga, majaliwa, mwanli, Mahanga, malima, silima, mtemu, luenge, maalim, medeye, mulugo, juna abdula, nyarandu, seif rashid, chawene, saada, makamba, tizebha, makala, pelisi, masele, kahiuluku, jabeth

  Mie naona wale wale walio wengi
   
 2. K

  KONGOTO Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani ubaya uko wapi km walio wengi ni wa zamani...hoja ni kuwaondoa waliotajwa kwenye taarifa ya CAG basi na sio vinginevyo
   
 3. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Waziri asiyekuwa na wizara maalumu maana yake ni nini? Hii wizara inakuwa na watendaji wengine kama wakurugenzi, katibu mkuu na wengine kama hao? Je inakuwa na jengo la wizara? Na je plate namba ya gari lake inakuwaje?
   
Loading...