Hawa Ghasia kuendelea kuwa Waziri ni kukubali wafanyakazi hewa

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Wizara iliyoongozwa na Hawa imelalamikiwa na kukubali kuwa ina wimbi la wafanyakazi hewa. Mbona hajashughulikiwa? Au kwa kuwa Shemeji?
 
huyu mama sijui au dada hafai kuwa waziri basi tu (zidumu fikra potofu za mwenyekiti wa sisiem)
 
singeweza kumtosa huyu mama msema ovyo, kisifa hana hata moja yaani hata kuwa mkurugenzi hana sifa. ishu hapa ni binamu na salma kikwete, angemnyima uwaziri, basi nyumbani kusingekalika. si unajua uongozi jamaa anagawa kama pipi
 
Back
Top Bottom