Hizi si zama za kuwa na WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUM

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Rais aliposhauriana na washauri wake sijui walifikiria nini hadi kumfanya MWANDOSYA awe waziri asiye na wizara maalum.
Mimi narudia kusema kuwa watawala mbona vipaumbele hamviangalii?
Kila siku mwashauriwa kupunguza gharama za serikali,je kuanzishwa kwa wizara hii kuna TIJA?HASA KWA WATANZANIA?
 
Ni kweli kwani ni lazima Mwandosya awe waziri? Nafasi ni chache, zikijaa basi hakuna haja ya kujaza baraza la mawaziri wengi wasio na tija.
 
Hapa bhana kwakwel lazima wadau wahoji,haya ndo matumiz mabaya ya pesa
Ni kweli kwani ni lazima Mwandosya awe waziri? Nafasi ni chache, zikijaa basi hakuna haja ya kujaza baraza la mawaziri wengi wasio na tija.
 
Rais aliposhauriana na washauri wake sijui walifikiria nini hadi kumfanya MWANDOSYA awe waziri asiye na wizara maalum.
Mimi narudia kusema kuwa watawala mbona vipaumbele hamviangalii?
Kila siku mwashauriwa kupunguza gharama za serikali,je kuanzishwa kwa wizara hii kuna TIJA?HASA KWA WATANZANIA?

Hiyo ni pole wa yale mambo.....Hivi anaendeleaje kiafya?
 
Huyu kateuliwa kumpiga tafu Pinda, ni sawa tu na kile cheo cha Mrema cha naibu waziri mkuu! Nafikiri rais kaona Pinda anapwaya na kumtosa noma so suluhisho awe na msaidizi wake
 
Mi sijui,kawekwa kama spare tyre atakayesupplement kwny weakness au ndo style ileile ya naibu waziri mkuu!
 
Na lukuvi atakua na kaz gan?wasira je?

Back
Top Bottom