January Makamba atoswa uwaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba atoswa uwaziri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, May 3, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  huyu mkuu alikuwa na imani 100% kuwa atakuwepo lakini katoswa na kupigwa chini,inasemekana amefananishwa mambo yake na naibu waziri wa Nishati na madini!!taarifa kutoka jikoni
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Haya ya vijiweni hatuyahitaji hapa vinginevyo kuna source inayoeleweka kujenga hoja ya kujadiliwa. Vinginevyo tusubiri litakapotangazwa barala la mawaziri ndipo tujadili kwa kujiridhishwa kwamba mawaziri ni hawa na waliotoswa ni hawa.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naona ataandika barua nyingine ili izidi kumuweka juu tena kwenda wizara ya nishati na madini. Sitashangaa akipigwa chini.
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  mweeeeeeeeeeeeeee, nakumbuka baba yake huyu jamaa , mzee YM, alimtabiria huyu jamaa uwaziri kipindi cha kampeni matokeo yake amekuwa wa kutoswa mwanzo mwisho
   
 5. d

  deecharity JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  taarifa za jikoni znahusiana na vyakula pekeake mkubwa.
   
 6. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mbona anaeteua nae ana kijitabia cha malima? Taja sababu nyingine!
   
 7. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyu dogo inaonekana kaupania haswa huo uwaziri, na mimi naomba kwa nguvu zote ashindwe.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naona una unleash your passion through Jamii Forum!
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu January Makamba si yuko 'on job training'... Tusubili tuone, ukizingatia hii nchi inaongozwa ki-legelege, anything can happen...
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwani baraza limeshatangazwa?
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
 12. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Apewe Uwaziri au asipewe, wewe inakuhusu nini?

  Katika umri wake na mambo ambayo amefanya/anafanya amejitahidi sana, wewe umefanya nini so far kiasi cha kuwa na chuki na mtima nyongo kwa kijana mwenzako?

  Wivu haujengi kaka, fanya kazi na omba Mungu
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hiyo nzuri, hakuna sababu ya kuanza kumchagulia Rais MAWAZIRI
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ungekuwa muungwana kidogo basi ukaanza na TETESI. Inaweza ikawa kweli lakini kama haijathibitishwa inabaki kuwa tetesi na uthibitisho wenyewe ni tangazo la Rais manake haya mambo unaweza sasa hivi ukawemo lakini wakati wa kutangaza ukawa nje and the opposite is also true.
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Akiupata uwaziri ni heri pia
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Mbona unajibu kwa hasira hivyo.............. una ubia naye nini??

  Kwa jinsi unavyooandika inaelekea kwako uwaziri ni kazi ambayo mtu anapewa ili afaidi ndiyo maana unaongelea mambo ya wivu wakati wenzako wanajaribu kuongelea uwezo wa mtu. Sasa kama watu wanamuona hana uwezo na hiyo kazi wewe ni nani kusema kuwa wanamuonea wizvu kijana mwenzao??
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Yawezekana mkulu kazinyaka zile $2m alizo lamba
   
 18. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  Kwani ubaya wake ni nini? Kama uwezo anao tatizo nini? Tuache mambo ya kiuchama uchama kwenye mambo muhimu yamgusuyo kila mtu kama nishati. Kama uwezo anao basi haina shaka yeye kuteuliwa.
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni ana uwezo wa uongozi sijawahi ona, hata kama atatoswa sasa hivi, lakini jamaa atakuwa msaada sana huko mbele.
  .
  "Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 20. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  My question exactly!
   
Loading...