Kwa dhambi Hii nnamashaka na Chama Cha Mapinduzi(ccm) kushina Arusha Mjini

Ndaskoniax

Member
Apr 29, 2012
20
1
-;Felix Mrema alishagatetea wakazi wa eneo la kaloleni Mjini Arusha ambao walitaka kuuzwa na pia wafanyakazi wa iliyo kuwa General Tyre akaondolewa kwa kura ya maoni kugombea ubunge.
-;wakurugenzi wawili wa Mjini Arusha waliondolewa kwa hila za uchaguzi,mmoja alitolewa katika kipindi cha uchaguzi 2005 au 2006 na mwingine 2010
-:Ndugu Mkanga alishahusika katika sakata la kuuza kiwanja na wakazi wake eneo la soko la kilombero,mbaya zaidi alitoa ushikiano kuwamwagia wajumbe wa CCM kata ya ngarenaro maji yenye kinyesi baada ya rafiki yake kutoswa kura ya maoni.
-:Bi Batilda alisha wakashifu kinamama wajasiria mali wa Mjini Arusha pamoja nakutishia kuifungia redio moja ya kiinjili ya mjini Arusha iijulikanayo kama Redio Safina.
Dhambi hii itawaghrimu.. Ni Hayo tuu..
 
CCM Arusha kiukweli ipo ICU wala haina ubishi. Toka washindwe wanachama wao wamekuwa wanyonge kwa maana hawajawahi kufanya mkutano wowote wa kitaifa wa hadhara kuhamasisha chochote kile.

Poleni CCM kwa kupoteza jimbo kuhimu mlikuwa mnalitolea sana macho lakini ndiyo hivyo tena CDM wamelipenda zaidi.
 
-;Felix Mrema alishagatetea wakazi wa eneo la kaloleni Mjini Arusha ambao walitaka kuuzwa na pia wafanyakazi wa iliyo kuwa General Tyre akaondolewa kwa kura ya maoni kugombea ubunge.
-;wakurugenzi wawili wa Mjini Arusha waliondolewa kwa hila za uchaguzi,mmoja alitolewa katika kipindi cha uchaguzi 2005 au 2006 na mwingine 2010
-:Ndugu Mkanga alishahusika katika sakata la kuuza kiwanja na wakazi wake eneo la soko la kilombero,mbaya zaidi alitoa ushikiano kuwamwagia wajumbe wa CCM kata ya ngarenaro maji yenye kinyesi baada ya rafiki yake kutoswa kura ya maoni.
-:Bi Batilda alisha wakashifu kinamama wajasiria mali wa Mjini Arusha pamoja nakutishia kuifungia redio moja ya kiinjili ya mjini Arusha iijulikanayo kama Redio Safina.
Dhambi hii itawaghrimu.. Ni Hayo tuu..

Hahahaaa nimesoma sijaelewa ngoja nikalale nikiamka nitarudia tena
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom