Mgaya na TUCTA yako acha siasa!!!!! shame on you | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgaya na TUCTA yako acha siasa!!!!! shame on you

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bhikola, May 4, 2012.

 1. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Binafsi siamini katika utendaji wa baadhi ya wanasiasa ikiwa ni pamoja na wa JK, sasa unapoamua kuwakaribisha wanasiasa kutafakari kuhusu siku ya wafanyakazi, ni wazi watapiga siasa. Mgaya, kwahiyo usitake kujikosha kwetu, unapoteza mvuto, na binafsi sitashiriki kwenye huo mgomo wako. Shmae on you na uache cheap popularity kupitia mgongo wa wafanyakazi. Hauna tofauti na vuvuzela

  SIKU moja baada ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Nicholus Mgaya, amesema atatangaza mgomo mkubwa wa nchi nzima ikiwa serikali itaongeza mishahara ambayo haitawaridhisha.
  Mgaya alisema hayo wakati akizungumza na Tanzania Daima kuhusu kauli yake ya Januari, mwaka huu, aliyokaririwa akidai kuwa wanataka kima cha chini kiwe sh 500,000 kwa vile sh 300,000 iliyokuwa imependekezwa mwaka 2006, imepitwa na wakati.
  Alisema kuwa wanafanya utafiti ambao unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu, katika mikoa yote nchini, ambapo wamesambaza maswali katika maeneo mbalimbali ili kupata majibu yatakayowawezesha kupendekeza kima cha mshahara.
  “Ikitokea tukapewa nyongeza ambayo haturidhiki nayo tutarudi kwenye vikao vyetu, tusiporidhika na wafanyakazi wakaamua kugoma, tutatangaza mgomo huo,” alisema Mgaya.
  Alifafanua kuwa mwanzoni mwa mwaka huu alizungumza hivyo bila kufanya utafiti na inawezekana kima hicho kikaongezeka ama kupungua baada ya utafiti huo kukamilika.
  Aliongeza kuwa katika maadhimisho ya Mei Mosi juzi alimkumbusha Rais Jakaya Kikwete, kima cha chini cha sh 315,000 kilichokuwa kimependekezwa lakini bado hakijafikiriwa, hivyo ni vema serikali ikaharakisha.
  Source, Tanzania daima la leo
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tumemchoka Mgaya juzi anacheka leo analia
   
 3. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  huo ni unafiki kwa wafanyakazi na vyama vya wafanyakazi pia
   
 4. M

  Mboerap Senior Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ki ukweli mi sioni faida ya hili lidude( TUGE) ni bora tungebaki yatiwa tu. Siku serikali ifurahi waongeze ikikauka basi. Tuge wanakata hela zetu kwenye mshahara lakini hakuna msaada wowote.
   
Loading...