Jk kushitakiwa kwa kuvunja katiba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kushitakiwa kwa kuvunja katiba.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbaga Michael, May 4, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Hivi kweli Kikwete anavunja
  maudhui ya katiba akiwa na
  macho makavu!! Mawaziri kwa
  mujibu wa katiba, I stand 2 b
  corrected, lazima watokane na
  wabunge. Na ili utambuliwe
  kama
  Mbunge lazima uwe umeapishwa
  na Speaker. Kikwete yupo juu ya
  Katiba. Anateuwa mbunge na
  papo hapo anamteuwa kuwa
  waziri, maana ni kwamba kampa
  mtu uwaziri kabla hajawa
  mbunge! Tujadili


  Chini ya ibara 55 (4 ) kuhusu
  Uteuzi wa Mawaziri inasema
  Mawaziri na Naibu Mawaziri
  wote watateuliwa kutoka
  miongoni mwa Wabunge,
  ibara 68 inasema 68. Kila
  Mbunge atatakiwa kuapishwa
  katika Bunge kiapo cha uaminifu
  kabla hajaanza kushiriki katika
  shughuli za Bunge; lakini
  Mbunge aweza kushiriki katika
  uchaguzi wa Spika hata kabla
  hajaapishwa.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Tanzania kila kitu kinawezekana.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ndio mana kuna mahali watu wamehoji, je bw. Jk ataitisha bunge la dharula? Hata wasaidizi wake hawakuliona hilo? Anyway mh. Wetu yupo juu ya kila ki2, hopeful haitakuwa big deal kwa kuwa ni tanzania
   
 4. Nang'olo Ntela

  Nang'olo Ntela Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kasome Katiba zaidi. Hatoweza kuiwakilisha serikali bungen hadi aapishwe na Spika kwanza.
   
 5. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,120
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kachaguliwa auze sura eeeeeh au
   
 6. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hayo ndo maamuzi ya baba Mwanaasha. Hata hukumu ya Mahanga nayo ni uchuro tu.
   
 7. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hajavunja katiba yoyote kwasabab hawawezi fanya kazi mpaka waapishwe na bunge kwanza.
   
 8. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 185
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  he!!?? baba Mwanaasha ndo nan tena?
   
 9. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  rahisi kutawala kama Tanzania
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata kumshtaki Rais nako ni kuvunja Katiba, usisahau hilo, unless ulimaanisha awe "impeached" na Bunge!
   
 11. M

  Mboerap Senior Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi katiba siijui kabisa, ila nadhani kuna vifungu vinavyompa nguvu hio. Ninazo point 2. Kwanza uteuzi alipoufanya vyombo vya habari vilinukuu na vifungu vya katiba vinavyompa mamlaka hayo kuteua. Pili kulikua na msisitizo kwamba" UTEUZI HUO UNAANZA MARA MOJA. Sasa walio na hio katiba hebu kipitie hicho kifungu cha katiba (angalia taarifa za uteuzi wa siku hio) halafu mtujuze
   
Loading...