Baada ya Willium Ngeleja Kung'oka Matumaini Ya Badra Masoud Kuendele na Kibarua yamepumngua!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Willium Ngeleja Kung'oka Matumaini Ya Badra Masoud Kuendele na Kibarua yamepumngua!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emil Mwangwa, May 4, 2012.

 1. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ngonjera za Mgao wa umeme zilikuwa zinalaghai Watanzania kwa kumutumia Badra Tanesco ambaye alisimikwa na Lowassa na kulindwa na NGEREJA!!!!!!!!!!!!!!!111
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sio Ngereja ni Ngeleja, Shule za Kata noma
   
 3. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Tanesco and the ministry you have mentioned have fundamental issues to sort. You sound like a person with issues with Badra as a person.
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  We unaugomvi na huyu mama sio bure.
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kwani alikuwa chakula ya EL?
  Funguka...
   
 6. M

  Mboerap Senior Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hebu tusiigeuze JF Kama saluni ya kinamama
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ngeleja ndio aliyemuajiri badra?
  Ngeleja ndo aliingia mkataba na badra?
  Au ngeleja ndo afisa uajiri wa tanesco?
   
 8. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  sasa ndo uzi gani huu, taarifa haina kichwa, mkia wala miguu.

  yani sielewi angle ya story yako, ni nini... ni wivu, ufisadi, ubadhirifu, umangimeza, ukiritimba, mkurabita, mkukuta, ukabaila, ukoloni mamboleo, jokofu, kurunzi, parafujo, am komfyuzd gaiz.
   
 9. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mode watu ka hawa na thread za ajabuajabu ni kuwaban tu kulinda heshma ya JF
   
 10. m

  makorongo Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  wewe unakuja na mada iwe na mashiko kwa wana jf siyo unatuletea habari isiyo kuwa na kichwa wala miguu. kwani ngereja alikuwa na u husiano na badra? wacha hizo bana
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Jamaniiiiii mi nilifikiri kawekwa Na Ngeleja..... Ujinga tu.
   
 12. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tatizo la kukurupuka; weka reference hapa, acha habari za kwenye vijiwe vya kahawa.
   
 13. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Loooooser !!
   
 14. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,317
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nadhani wengi hamjaelewa maudhui ya muanzisha thread, kwa mimi nilivyooelewa ni kwamba Badra Masoud aliwekwa hapo kupiga propaganda kuwaridhisha watanzania, hasa baada ya viongozi wa wizara na shirika kutambua kuwa hawawezi kuzalisha umeme wa kutosheleza watanzania na hawawezi pia kuondoa kukatika katika kwa umeme, kwa hiyo aliwekwa kuhakikisha anatupa maneno matamu matamu ili watz tuwe wavumilivu.
  Sasa baada ya waziri huyo kung'olewa waziri mpya atajipanga na kuhakikisha matatizo ya umeme yanaisha kwa hiyo Badra hana kazi tena ya propaganda hapo tanesco.
  Ni mtazamo wangu tu wandugu.
   
 15. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Vague!
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ataendelea kuwa msemaji
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wa hayo mazuri, ikiwemo kupiga promo (marketing) !
   
Loading...