Wanafunzi UDSM wadaiwa kuuza miili ili kukidhi mahitaji yao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi UDSM wadaiwa kuuza miili ili kukidhi mahitaji yao.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King2, May 24, 2012.

 1. King2

  King2 JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kamati ya bunge ya masuala ya ukimwi imebaini hilo. Hii inatokana na hao wanafunzi kukosa mikopo na mabweni. So mchana wanakuwa darasani usiku Ohio. Kwa wale upande wa wanaume wanalazimika kulala na Majimama
  source: gazeti moja la leo
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utandawazi huo, Wana- copy na Ku- paste from Nigeria. Entrepreneurship@work.
   
 3. k

  kitenge shaban Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sura hii Ukimwi hauta kwisha...!!! Ooh masikin Wanafunzi hata ukibahatika kupata hiyo Degree lkn tayar umepata maambukizi ni muda mfupi tu ukimwi unakuchukua !!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Haya ndio MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyokuwa ametuahidi Rais.
  CCM oyeee, Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 5. v

  vickitah Senior Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wamewazalilisha sana wanafunzi especially wale ambao hawajiuzi..
   
 6. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mbona kawaiiida tu??
   
Loading...