Serengeti freight inafanya nini uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serengeti freight inafanya nini uk

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, May 25, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NINAOMBA WANA JAMII WNIELEZE KWA UNDANI HII KAMPUNI INJIHUSISHA NA BIASHARA GANI MAANA INAONEKA KUNA WATU WENGI WAMEKAMATWA AIRPOTRT YA UK WAKIHUSISHWA NAO:ballchain:
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  We ndo twambie
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nachojua mimi inahusika na usafirishaji wa mizigo toka Uk kuja Tanzania,kuhusu kukamatwa kwa Watanzania wengi airport wakihusishwa na kampuni hiyo labda ufafanue zaidi wanakamatwa wakiwa wanaingia au wanatoka?
   
 4. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Umeleta topic ili iweje kama hauna maelezo zaidi? Wana website google usome.
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KUNA MRUNDI MUSA ALIKAMATWA AKIWA NA UNGA NASIKIA NI WA SERENGETI:hatari:
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  jamaa mmoja wapo ni muuza unga muda mrefu.
  Mzigo uliwahi kumpasukia tumboni ugiriki,ana bahati kuwahishwa hospital.
  Na alifungwa kwa muda ugiriki,baadaye alipata msamaha kwa kua alikuwa na mshono mkubwa sana tumboni.
  Akarudishwa Uk ambapo ana urai wa huko( urai halisi ni mpemba)
   
Loading...