Ushirikina Ushirikina Ushirikina!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushirikina Ushirikina Ushirikina!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Power G, May 24, 2012.

 1. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wana JF, lengo langu la kuuleta uzi huu ni kuwafahamu madudu wanayotulisha hawa wasichana wa kazi a.k.a Beki tatu kwa malengo binafsi, ili tujihadhari yasije tukuta kama yanayowakuta wengine. Endelea kusoma habari ifuatayo ingawa inasikitisha sana:-


  Dubai maid arrested after adding urine to employer's food

  Dubai cops have arrested a housemaid who was mixing her urine with her employer's food and drink in a bid to control them, UAE website Emirates 24/7 reported on Wednesday.

  Her employer reported the woman because of the persistent foul smell coming from their food and drink, the report added. Cops found a bottle of urine in the maid's bedroom during a police search.

  The maid later confessed to police that she thought the act would enable her to control the family and push them into giving her a pay rise and better incentives, adding that she had done the same in another Gulf state, the website added.

  "The maid justified her behaviour to a general belief in her country that she can control any person by adding her urine to his food or drinks…she said she wanted this family to raise her salary and give her more incentives," LT Colonel Ahmed Al Marri, criminal investigation chief at Dubai police told the website.

  "She said the family in Rashidiya suspected the food contained something strange because of the smell but that they have had it regularly since she joined them," he told Emarat Alyoum daily. He said this was not the first occasion he had heard of such attempts at apparent witchcraft, the website added.

  Only last week an
  Indonesian maid working in the UAE confessed to adding pieces of her underwear to her employer'sfood, thinking it would enable her to control them. And it is not unique to the UAE and Middle East, a maid working in Singapore was charged on Tuesday with adding menstrual blood to her employer's coffee.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mods naomba muuhamishie huu uzi wangu kwenye jukwaa la kimataifa, maana bekitatu wa Tz wanaweza kuwa hawana hizi tabia za kulisha watu mikojo na damu za hedhi.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Ushirikina hauna unachosaidia watu zaidi ya kuwapoteza
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye RED: Beki 3 ndio nani? tuwatendee haki hawa watu plz. What kind of that word?
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Huu uzi utawafanya ma maid wa ki tz waanze hii tabia, Sio tu kuuhamisha bali pia kuufuta
   
 6. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mtume!!!!!!!!!! sijui tunalishwa nini na hao baki tatu tukiwa hatupo.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ambacho wewe hujaelewa ni nini? Soma kwanza habari yenyewe hapo juu utajua beki3 ninaowazungumzia ni akina nani.
   
 8. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hili mbona hata hapa kwetu yanatokea sema kwenye vyombo vya habari hayafili ili nilishasimuliwa na familia moja ilishawakuta.
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu unahofia kufanyiziwa? Bahati nzuri humu JF hawana access usihofu.
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  fikiria mwanao ndo kaazi yake na anaifanya kwa umahiri mkubwa halafu asikie wanamwita beki tatu, atafurahia? ukiwaita wafanya kazi majumbani nadhani ni lugha ya staha
   
 11. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Mh! inabidi kuanzia sasa tuwe tunanusa harufu za chakula lol:
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na akheri hao beki tatu kuliko mamantikie wa kitanzania kule tunakula vitu mbaya sana lol
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Una maana kwa akina "mama niwekee" tunakula vibaya kuliko mikojo na damu za period??!!! Nadhani wanaume ndiyo tunakuwa waathirika zaidi, upate dozi za beki 3 halafu ongezea na dozi za waifu kama naye ni mshirikina. Ukitoka hapo kichwa kimechanganyikiwa kabisa.
   
 14. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Duh!! Hii kali.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo family itakuwa ni ya Kizanzibari tu, maana huko Rashidiya ndiko walipewa nyumba za bure wale wakimbizi wa Zanzibar waliokimbilia Dubai baada ya mauaji ya kimbari wakati wa "mapinduzi" ya Zanzibar.

  Poleni ndugu zetu.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  Jirani yangu aliwahi kuwa na mjakazi full mchirikina,
  alipombana akakubali kuwa anaruka usiku
  ilibidi amrudishe kwa wale waliomtafutia.
   
 18. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,130
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280


  Mbona wanafanya sana na wengi wao ni wasichana wa Iringa na Bukoba. Wanafanya ndumba ili kuiba baba mwenye nyumba. Kuna kipindi hapa bongo hii ilivuma sana na watu wakaanza fukuza wasichana wa Iringa na BK.
   
 19. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Limbwata on its way forward!!!!!!!

   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  bado ya nyumba ndogo !
   
Loading...