Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania:Piga kura yako hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania:Piga kura yako hapa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGOWILE, May 22, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadau katika bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mbunge yupi unampa heshima ya kuwa mbunge bora kuliko wote? Vigezo ni uzalendo,kujiamini,kujitoa kwa ajili ya Taifa,msimamo kwa maslahi ya taifa,Jasiri,mbunifu katika kuwasaidia wananchi,ukaribu wake na wananchi,ushirikiano na viongozi wenzake,uwazi, uaminifu na umakakini.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Andika vigezo kwanza la sivyo kama ni ujira na fujo basi Shibuda
   
 3. Pilato2006

  Pilato2006 Senior Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tundu Lisu
  J.Mnyika
  J. Makamba
  >H Mwakyembe
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwa vigezo vya utendaji kazi na uzarendo...98% Zito Zuberi Kabwe
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  inategemea...kuna wabunge wa kimya bungeni lakini kwenye majimbo yao wamefanya mengi ya maendeleo na wanafanya kazi kimya kimya hatuwajui...akina zitto wanapiga makelele bungeni kila kukicha lakini hatujui huko majimboni mwao kuna nini hasa cha maana wamefanya...
   
 6. m

  mamajack JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kama kwa usingizi, ni stephen wasila
   
 7. m

  mamajack JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kwani walitumwa wakakae kimya,kama nihivyo basi hatunahaja ya vukao vya bunge.
   
 8. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mbunge bora kabisa kuliko wote kwa utendaji ni Bwana Lusinde mbunge wa Mtera.
  .
  "IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY AND MONEY HAVE CREATED ALL KIND OF MADNESS".
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tundu Lissu, Zitto Kabwe, J Mnyika, H Mdee, Filikunjombe, Mbowe, Msigwa, NK
   
 10. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This guy is so clean TUNDU ANTIPAS LISSU
   
 11. s

  skalulu Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwa upande wangu, ni Mbunge Wangu anayejitoa kwa Taifa hili ni KAMANDA LEMA,sisi bado tunamwita Mbunge

   
 12. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  hakunaga kama zitto kabwe alafu ndio wanafuatia mnyika na wengine.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Kweli kabisa na ndio maana ukawa Bikira Wa Kiume
   
 14. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tindu Lisu
  Mnyika
  Mdee
  Sugu
  Msigwa
  na
  Vikonjombe kwa CCM
   
 15. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Freema Mbowe
   
 16. simaye

  simaye JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  kwa kweli kawa vigezo ulivyotaja huwezi kuacha kuwataja zitto kabwe akifuatiwa na Tundu Lissu.
   
 17. k

  kitero JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wazuri wapo wengi sana hasa kwa kambi ya upinzani CDM wote ni wazuri wana fanya kazi kitimu.
  1.freeman Mbowe 2.Tundu Lisu3.John Mnyika 4.Zito Kabwe 5.Halima Mdee 6.Vicent Nyerere 7.Mchungaji Msigwa na wengineo
   
 18. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Marehemu mheshimiwa PHARES KABUYE
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Orodha ni hiyo hiyo juu, lakini mbunge wa karne (all time achievement) ni Dr. Slaa.
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Lema ndo mbunge wa ukweli
   
Loading...