Ajali Bariadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Bariadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msendekwa, May 25, 2012.

 1. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kumetokea ajali Bariadi leo asubuhi saa 12, baada ya basi la Super Najimunisa kutumbukia darajani Somanda jirani na kanisa katoliki St. John.
  Kuna majeruhi kadhaa, na hamna kifo so far.
  Inasemekana basi hilo liendalo Dar lilikuwa linakimbizana na Ally's bus liendalo Ushirombo.
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Poleni majeruhi... Hizi ajali asilimia kubwa ni uzembe..
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahaaa,,,,ushirombo na dar,,,,wanagombania ABIRIA WA KWENDA WAPI SASA,,,NAJMUNIS AILISHAWAH KUFUNGIWA NA SUMATRA
   
 4. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana kawaida ya kugombea abiria wa njiani, kati ya Bariadi na Shinyanga mjini.
  Ally's kambana mwenzie, daraja lenyewe jembamba, linaruhusu gari moja at a time.
  Mwenzake akagonga nguzo ya daraja na kutumbukia mtoni(haukua na maji) kisha kupinduka.
  Wala hakusimama kutoa msaada.
  Na inasemekana Najimunisa lilikuwa linaendeshwa na Deiwaka toka Stendi Somanda, dereva Halisi alikuwa anasubiria Salunda(mwisho wa lami) ku take over.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  haya mabasi ya huko nilishayapanda yaani ni full kifo barabara ni mbovu lakini jamaa wanatemebea as if wako kwenye lami, nakumbuka nilikua na huko huko nikapanda hilo hilo basi yaani nilitubu na kusali sala zangu zote, kufika bariadi saa kumi jioni nimelowa jasho, vumbi, kichwa kinauma harufu ya kuku bata na mbuzi. Sitasahau
   
 6. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Majeruhi wapo 31, baadhi yao wapo serious, wanaendelea na matibabu na uchunguzi zaidi.
   
 7. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 581
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Mashindano yao,yatatumaliza! Pole zao majeruhi,Mwenyezi Mungu awape uponyaji wa haraka!!
   
 8. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Na hapo bariadi Najmunisa pekee ndiye anasafirisha Dar-Bariadi lakini mbio zake mimi bora niunge Shy au Mza. poleni watani!!!
   
 9. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,853
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Ndio Maana nasema Watanzania Inabidi Tujitafakari Mara Mbilimbili!! Wewe Unaona Mtu anachezea Uhai wako kwa muda Mrefu!! Watu 31 Mmekaa mnamtizama Tu!! Hewala Baba Tufikishe!! Akufikishe wapi kama sio AHERA?
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  labda abiria wanaoenda Maswa na Shinyanga...
   
 11. A

  Anacletus Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana ndugu zangu wa Bariadi, tumuombe Mungu awahurumie waliomia ili wapate nafuu na kupona maumivu waliyoyapata.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Juzi nilipada Mombasa raha duuuu ilikuwa balaaaaaaaaaa tupu mara lisimame limwangiwe maji sijui ndiyo limechemsha...hahaha
   
 13. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanx God Majeruhi wote wanaendelea vema, m1 karuhusiwa, wengne 30 wapo stable, na wanajitambua.
  Hakuna aliepoteza kiungo.
   
Loading...