Marufuku nzi kuruka ndani ya kampasi za vyuo vikuu vya CHINA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marufuku nzi kuruka ndani ya kampasi za vyuo vikuu vya CHINA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 25, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Serikali ya China imetoa agizo kwa watendaji wa vyuo vikuu vya umma nchini humo kwa kuhakikisha kuwa hakuna nzi atakayepaswa kuruka ndani ya kampas hizo,na endapo kutakuwa na nzi wanaruka basi wasizidi wawili,lengo ni kuongeza kiwango cha juu cha ubora wa vyuo hivyo.
  Sosi:MTANZANIA
   
 2. d

  debito JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duuh! hii ni nowma nafikiri ingeletwa bongo esp k/koo ingekuwa njema
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  aaaa,,,labda waanze na muhimbili,,,,maana kampasi kama ya udsm nzi utawapunguzaje pale,,,,
   
Loading...