Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF uongozi wa Tazara unahitaji mabadiriko ya hali ya juu,kwani jana wasafiri waliotakiwa kusafiri kwa kutumia reli hiyo ya Tazara walikwama baada ya train kukosa mafuta,inasemekana LAKE OIL...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Suala hili limejadiliwa sana miezi michache iliyopita lakini nimeamua nililete hapa baada ya kuona baadhi ya blogs zikiendelea kutoa picha za kutisha za marehemu pindi ajali zinapotokea. Lately...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tanzania has superstars Steven Kanumba, the Tanzanian actor famous for roles in Tanzania's soap operas and films shown all over east and central Africa. He died after an accidental fall during an...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Machame ni sehemu ya vijiji vilivyo endelea kuliko vijiji vyote Tz. Tuna umeme miaka mingi sana wakati sehemu nyingine ambako ni makao makuu ha wilaya hawajui umeme.! Kati ya matajiri 17 Tz wawili...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Na Marietha Mkoka BAADHI ya viongozi wakuu serikalini, wanadaiwa kuwa vinara wa biashara ya mihadarati wakiwatumia raia kutoka nje wanaokuja kwa kivuli cha dini. Tuhuma hizo nzito...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuwa napitia maoni ya wasomaji wa gazeti la Mwananchi kwenye tovuti yao. Moja ya wachangiaji walikuwa Mh Makongoro Mahanga Mbunge wa Segerea. Nanukuu maoni yake hapa chini.. "Hongera sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo ni Jumamosi tarehe 4 Rajab mwaka 1433 Hijria, inayosadifiana na terehe 26 Mei mwaka 2012 Miladia. Siku kama ya leo miaka 131 iliyopita Ufaransa ilianza kuikoloni nchi ya Tunisia. Kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada. Usiku nikilala natembelewa na watu nisiowajua,yaani kila siku kuna watu wanakuja chumbani kwangu halafu tunakaa na kuongea,wakiondoka tu na mimi naamka mara nyingi inakuwa mida...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndg mwana jamvi hivyo ndivyo geita ilivyo kila mahali ni vumbi,hakuna huduma za maana za jamii kama vi hosp,shule,maji safi na salama,zahanati na nk,lakini inavyosikika nje kama vile ni sehemu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Published on Friday, May 25 2012 03:06 Written by MASEMBE TAMBWE East African Cooperation Minister Samuel Sitta has insisted that land remained a sovereign matter and cautioned against ongoing...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I have received this message concerning the controversial Silverdale Farm Case. The following is the statement by Mr. Reginald Mengi's Attorney Mr. Mike Ngallo of Ngallo & Company Advocates of...
0 Reactions
81 Replies
12K Views
TuneIn Web Tuner naomba mtujibu kama kesho tutaweza kuwa nanyi online kwenye mkutano wa jangwani ama vipi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani Jana nilikuwa safarini kwa Basi dogo, natoka Rufiji kuja Dar es salaam, njiani maeneo ya porini alipanda mzee mmoja ambae ni mwanakijiji wa eneo hilo..alipopanda na kuona viti vya Costa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Robert Mugabe amesema kuwa wazungu ni wachoyo ndio maana wamemnyima kura Bi Okonjo ambaye alikua akiwania nafas ya ukuu wa benki ya Dunia,BWana mugabe amesema kuwa wazungu wanataka position...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Rais JAKAYA KIKWETE amesema kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono kwa dhati jitihada za Zimbabwe katika kutafuta muafaka wa kudumu wa kisiasa na daima itaendelea kushikamana na wananchi wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey guys anyone that's around Golden Plaza in town (Indira Gandhi St) be careful. There are robbers with guns and a gun fight might erupt as the police have the building surrounded.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika nchi ambazo ziko juu kwenye maendeleo kama si marekani ni china, lakini cha kushangaza mchina yeye pesa zake nyingi haiingizi kwenye biashara za kibenki kama alivyo mmarekani, cha kusangaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tunakupongeza kwa kazi nzuri uliyofanya ila kumbuka hii bara bara iliharibiwa na maji hivyo sehemu kubwa ikabaki korongo tatizo lipo hapa umesawazisha bara bara imeonekana ila hujaweka mfumo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wapinga muungano, leo watafanya sala ya Ijumaa katika viwanja vya Maisara. Tayali mamia ya watu wameanza kukusanyika toka pande zote za Unguja. Sipo mbali na eneo la tukio, nitajaribu...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
moshi wote unaelekea ikulu ya nchi na si kwa bahati mbaya la hasha ,wajapan walijenga majiko yale yatumie makaa ya mawe sasa kutokana na makaa hayo kuwa adimu hawa jamaa wakaanza kutumia mkaa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…