Aaah! Viti vimechakaa kama chama cha mapinduzi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aaah! Viti vimechakaa kama chama cha mapinduzi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Az 89, May 25, 2012.

 1. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Jamani Jana nilikuwa safarini kwa Basi dogo, natoka Rufiji kuja Dar es salaam, njiani maeneo ya porini alipanda mzee mmoja ambae ni mwanakijiji wa eneo hilo..alipopanda na kuona viti vya Costa vimechakaa akasita na kusema "AAH! VITI VIMECHAKAA KAMA CHAMA CHA MAPINDUZI" Kweli CCM Imekosa mwelekeo hata porini huko wanaelewa siku hizi.. NAWASILISHA.
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Watu watakuambia kuwa huyo mzee ni wa Kaskazini.
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nasubiri ribosome aje
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ribosome ni kijana mdogo tuu aliyesoma Elimu ya Information Technology Lakini CCM imemchakaza utafikiri Mnywa Gongo au Wanzuki
   
 5. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jana kasema kikwete kasababisha wastani wa kuishi uongezeke(50-55)...
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  kwi! kwi! kwi! Watu wamechakaa wamekuwa kama avatar ya Ritz huku wakiwa bado miaka wana 20 ndio imeongezeka hivyo? au labda anavyokutana na vijana waliochakaa sura baada ya kutudanganya maisha bora kila mtanzania anafikiri wana miaka 55 kumbe hata 15 hawajafikisha
   
 7. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Teh! Teh! Pangolin we ndo umeongeza siku zangu za kuishi kabisa!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Az 89 Nipo hapa kwenye hii thread na wasubiri wakina Ritz,Rejao,Rebosome,Mama Porojo na Mafilili lakini hawatii team na mimi sibanduki kwenye hii thread imekaa kimtego lazima waingize mguu
   
 9. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Watakuja tu nipo macho Pangolin
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kweli ccm wamechakaa Kama gamba la kenge
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Vizee vya CUF huwa vina mizengwe sana huyo babu lazima atakuwa mmoja wao! :happy:
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu kilikuwa na kanzu
   
 13. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ewe kikwete uliye Magogoni...rudisha institutions zote ulizowapa wageni!
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  pagumu hapo haji ng'o
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu az 89 Ribosome na W J Malecela wanasoma tuu wanaondoka hawagusi keyboard zaidi ya mouse
   
 16. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kweh! Kweh! Precise Pangolin...Lemutuz anaikumbatia CCM Wakati Nyerere alisema sio mama yake anaweza kuihama!
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njiani
   
 18. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kisukari litakuwa tayari limeshapata, limekuja Tanzania likafikiri siasa bado zile za 2000 kumbe upepo umebadilika!
   
 19. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mh!mh sina cha kusema maana nguo yake inaelekea kapewa enzi za uchanguzi sababu enzi hizo kikwete hali kuwa na mwili mkubwa kwahiyo alitumia mwili wake kupima manguo ya misaada.
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Rebosome IT weka masaburi hapa tuku peleke peleke
   
Loading...