Muamusho leo upo katika Viwanja vya Maisara - Unguja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muamusho leo upo katika Viwanja vya Maisara - Unguja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kibunango, May 25, 2012.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wale wapinga muungano, leo watafanya sala ya Ijumaa katika viwanja vya Maisara. Tayali mamia ya watu wameanza kukusanyika toka pande zote za Unguja.

  Sipo mbali na eneo la tukio, nitajaribu kuupdate yanayojili...
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Kibunango tuko pamoja .. mwaka huu kitaeleweka ..hakuna anayekubali kunyonywa
   
 3. S

  Starn JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nani anayenyonywa?
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sio utani... Saint Ivuga
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Pande zote...
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  tunanyonyana.wapemba huku bara wanapiga kura, wanauziwa viwanja, wana mabar na madukwa na hatuwaulizi kama ni wazawa. lakini mtu wa bar ajaribu zanzibar aone. maduka, bar vitachomwa moto wala hutapiga kula wala kufanya chochote cha maana labda ukavue samaki. mi naomba dua lao lifanikiwe wajitenge hata leo. mi ntakuwa wa kwanza kuwafurumusha wapemba wote wa pale buguruni, k/koo, kisutu, magomeni na kwingineko. kwanza wanatudharau sisi wabara. nakumbuka nilitaka kuoa mpemba kwao wakanitosa kisa mi si mpemba.
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Baadhi ya Mabango yanasomeka hivi:

  Watuachie tupumue - "Dokta"

  Msikubali Kusemewa - "Balozi"

  Sera ya serikali tatu imepitwa na wakati. - "Maalimu"
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Kibs najua sio utani ..mimi naangalia sana clips zao kule youtube kwa hiyo najua kitu gani kinaendelea na mwamko walionao
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,069
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  Waombe albadili kabisa hata leo muungano uvunjike.. Jitajidini mtaweza wazenji fanyeni kama syria.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  baada ya kuongea haya yote ...tupe jibu sasa ..nani anatakiwa au mwenye mamlaka ya kuvunja huu muungano? i mean muungano uko mikononi mwa nani?
   
 11. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kibunango angalia wasikuchomee baa yako!
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Sinkala hii avator yako nitaiomba niitumie angalau kwa wiki moja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haa, haa haa! Hakuna shida, ukihitaji niambie tu nikuachie, mimi nitaweka "nyengine"
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hapa nina mashaka kibao, kwani eneo la tukio lipo karibu na baa niliyoketi na viroba vyangu!
   
 15. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Bora wajitenge tu hawa wazenji, kwanza mimi nawaona ni mzigo kila siku hawaishi kulalamika yaani ukiwaona wazeni walioelimika na wasioelimika hawana tofauti, ni kelele tu daily.
   
 16. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi huwa siwaelewi hawa wenzetu wanafikiri kwa kutumia kiungo gani cha miili yao anyway hata sisi kwa kifupi tahuutaki hakuna tunachokipata kutoka kwenu. Tena hawa wapemba subiri tu. Vunjeni huo muungano mnaodhani unawanyonya hakika mtakuja juta.
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sala ya Ijumaa bado inaendelea... FFU kibao
   
 18. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Kama haijawhi kukutoke basi shukuru Mungu, mimi kuna wakati nilitamani atokee baunsa amtandike makonde baba yangu mzazi!....nawahimiza hawa wapemba wakomae maana watanganyika tumeishalishwa limbwata!
   
 19. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ukiungana na kichaa wote mnagawana ukichaa wake waacheni wajitoe w.a.j.i.n.g.a hawa
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Tanganyika ndo waliunda huu muungano na ndio watakao uvunja. but kama zanzibar wakiamua kuuvunja mapema itakuwa vizuri zaidi.
   
Loading...