majiko ya kukaangia samaki ferry | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

majiko ya kukaangia samaki ferry

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUGO CHAVES, May 25, 2012.

 1. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  moshi wote unaelekea ikulu ya nchi na si kwa bahati mbaya la hasha ,wajapan walijenga majiko yale yatumie makaa ya mawe sasa kutokana na makaa hayo kuwa adimu hawa jamaa wakaanza kutumia mkaa wa kawaida nao ukawa ni ghali ,sasa hivi wanatumia kuni ukifika pale huo moshi unao fuka utadhani hakuna watu ndani yake ,na wapo zaidi ya kumi .walipofikia kutumia kuni si ridhaa yao maisha bora kwa kila mtanzania imebidi hivyo kutumia kuni watoto wasome ,walipe kodi,sasa tukisema wahame kwa kuwa moshi unaenda ikulu si sawa kwa sababu makaa ya mawe tunayo na hata waliojenga majiko yale walihakikishiwa yapo wakajenga .mungu ni wa ajabu moshi kila siku unaelekea kule kule ikulu na kwingineko .waleteeni makaa ya mawe uliyowaahidi .
   
 2. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
Loading...