Robbers With Guns Around Golden Plaza

mafian

Member
Nov 15, 2011
45
5
Hey guys anyone that's around Golden Plaza in town (Indira Gandhi St) be careful. There are robbers with guns and a gun fight might erupt as the police have the building surrounded.
 
aiseeee hao watakuwa wamevamia maduka ya jewelezi nini?
 
Nimezitoa kwa chanzo cha kuaminika: Hao wezi walikuwepo saa 3 asbh. Wamevamia makazi na si gold shops. Ila habari ziliwafikia walinzi na wezi wakakurupushwa. Walikuwa na piki piki mbili haooo wakatoweka. Lakini inaonyesha kuwa ni mchongo wa wafanyakazi ndani ya jengo hilo.
 
Back
Top Bottom