Kikwete: Tanzania itaendelea kuunga mkono Zimbabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: Tanzania itaendelea kuunga mkono Zimbabwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 25, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  [h=6]Rais JAKAYA KIKWETE amesema kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono kwa dhati jitihada za Zimbabwe katika kutafuta muafaka wa kudumu wa kisiasa na daima itaendelea kushikamana na wananchi wa Zimbabwe katika jitihada hizo[/h]
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  Matamko mengine bora mtu ukaushe tu akma hujui kinachoendelea ....mtu na akili zako timamu unamsapoti Mugabe...
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Mugabe ni kidume wa marais wote Africa. Hasujudu kwa mashoga ili apewe mlo kama ilivyo kwa wengine.
  .
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Sa atamungaje mkono mugabe wakati kila sku anashinda kwa maadui wake,. Hapo sjamwelewa kidogo jk,.
   
Loading...