mkandarasi na barabara hii kutoka majengo olasiti hadi ccm

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
547
tunakupongeza kwa kazi nzuri uliyofanya ila kumbuka hii bara bara iliharibiwa na maji hivyo sehemu kubwa ikabaki korongo tatizo lipo hapa umesawazisha bara bara imeonekana ila hujaweka mfumo wa maji utakapopita ,pili vifusi umeweka mbona hujashindilia na hii ni barabara ni changa .la msingi kabsa ni maji sehemu kubwa ulipopitishia barabara ni sehemu ya maji na kuna uwezekano mkubwa wa kuleta mafuriko kwenye kaya za watu diwani anafahamu hapo vizuri .katamboi huyu ni diwani wa eneo husika chukua tahadhari sasa
 
Duh! Mkuu Chavez namna gani hapa? Yaani umeleta mada ambayo binafsi nimeshindwa kuielewa. Maelezo yako ni kama vile WADAU wote humu jamvini tuanaishi sehemu moja, yaani tutaelewa tu hii sehemu na barabara unayoiongelea. Kwa manufaaa ya tusioijua hii MAJENGO Olasiti, ipo wapi? Je ni Ngaramtoni au Arumeru, au Kambi ya Fisi?
 
Back
Top Bottom