TAZARA NI AIBU-wasafiri walalamika kwa WAZIRI MWAKYEMBE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAZARA NI AIBU-wasafiri walalamika kwa WAZIRI MWAKYEMBE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, May 26, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana JF uongozi wa Tazara unahitaji mabadiriko ya hali ya juu,kwani jana wasafiri waliotakiwa kusafiri kwa kutumia reli hiyo ya Tazara walikwama baada ya train kukosa mafuta,inasemekana LAKE OIL ambao ndio waliotakiwa kupeleka mafuta hayo hawakufanya hivyo mpaka alipojitokeza waziri wa uchukuzi Mh Mwakyembe.hata hivyo mpaka tunaingia mitamboni kuwaletea habari hii hatujaelewa kama abiria wale walisafiri ama la.

  tunamshukuru waziri Mwakyembe kwani nae ameona kuwa kuna tatizo ktk uongozi wa TAZARA na kiukweli mabadiliko ya haraka yanahitajika

  Hivi wadau hii nchi wapi tunaelekea? kwanini uongozi wa TAZARA usiondolewe ili tuanze upya? kwani wahenga wanasema kuanza upya si ujinga

  na kwanini TAZARA itegemee mafuta kutoka kwa wasambazaji? tulitegemea taasisi kama TAZARA iwe na visima vyake binafsi ili kuondoa mlolongo mrefu wenye rushwa ndani yake kwa kuwatafuta wasambaza mafuta?
   
Loading...