Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi ni hasira au? Hata kama unachuki na CCM ndio ufanye hivi? Toa maoni.
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Salaam wana JF. Huo ni ujumbe kwa wafanyakazi wote,popote pale walipo. Kuanzia wasaidizi wa ndani,wafigizi wa barabara,makondakta na madereva wa mabasi,hadi kwa rais wa JMT. Watanzania...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imekuwa kama utamaduni wa UDOM, kila majina ya wanafunzi kusain pesa zao za meals and accomodation yanapoletwa chuoni, baadhi hukosa majina yao! Katika hatua za mwanzo, watu hao hulazimika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
baada ya vurugu zilizotokea kuna umuhimu wa Friends of Zanzibar kuja na kuwapa watu uhalisia wa positive news toka zanzibar Kama kawaida watu wa Zenji hawana makuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Members ,mie mwenzenu sielewi labda kwa kupitia hapa naweza nikapata kuelewa.Mkoa wa Shinyanga nadhani ni mkoa wenye madini kwa kipindi kirefu sana lakini mbona hapaeleweki ? Maisha ya wenyeji ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A Facebook post recently revealed that if people were to be stripped naked, more than three-quarters of the handsome and beautiful people walking on the streets would be accused of witchcraft on...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na majini(sumatra) na wamiliki mwa daldala(dacoboa), wamejadiliana na kukusudia kupandisha nauli kwa asilimia 150.bila huruma wala kujali kuwa hata hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati barabara ya Maendela taa hazijawashwa, askari traffic walikuwa hawaongozi magari kwenye mataa. Kila siku pale uhasibu/kilwa rd kulikuwa kunatokea ajali mara kwa mara the same na pale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Muasisi wa Siasa za mageuzi na mmoja wa waanzilishi wa chama cha CUF mzee Musobi Mageni amefariki dunia jana saa mbili usiku nyumbani kwake Ngudu, Kwimba. Mzee alikuwa anasumbuliwa na magonjwa ya...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Tanesco mnakera na mitambo yenu hakuna kitu kinakera kama unaenda kununua umeme unaambiwa network akh!hakuna sehemu tanesco wapo imara kuanzia kwenye menejimenti hadi vitendea kazi network liwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekaa kimya kwa muda mrefu nikiwaza kilichotokea hivi majuzi huko kisiwani Unguja. Najiuliza hivi Wakristo wa visiwani wana makosa gani hadi kuchomewa nyumba zao huko ZNZ? Yaani muungano na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii na wataalamu ya mambo ya kimataifa, Wananchi hawana haki kujua kuhusu mikataba inayosainiwa na viongozi wetu? Mara kadhaa nimeona picha za viongozi wakisaini mikataba lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilitapeliwa sh 1,600,000 na ndg. fulani, kisha akatoloka kwa masiku kadhaa, nikatoa taarifa ya kuibiwa polisi urafiki ubungo na kupatiwa RB... wakati wa mizunguko ya ndugu zangu wa karibu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
na Betty Kangonga KANISA la Pentekoste Tanzania limedai kuwa vurugu zilizotokea visiwani Zanzibar na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali, zina msukumo wa baadhi ya viongozi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna ajali imetokea maeneo ya mikocheni kwa mwalimu! Foleni imekua kubwa sana kama kuna askari karibu msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simba Mikumi atesekaWakati Kagasheki akiwasimamisha kazi vigogo hao na askari, gazeti la Daily Mail la Uingereza katika ovuti yake ya Home | Mail Online umeaandika habari ya kusikitisha ya simba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani naomba kujuzwa hizi kampuni za uchukuzi kwa kila mkoa ambazo ni Iringa(iringa retco) Mbeya(mbeya retico)Mwnza(kauma) Ruvuma(kauru) Morogoro(mororetco)n.k. Hivi hizi kampuni ziko wapi maana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chadema kimepiga hatuwa katika kuelimisha wananchi na wapongeza wote waliofanisha kufikiwa hilo, isipokuwa napenda kuwaeleza na kuwakumbusha wafuwasi wa Chadema haiwezekani haiwezekani na haito...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Nimekuwa nikifuatilia sakata la ZNZ juu ya muungano, kwa macho ya nyama inaonekana mashehe wamechukua kazi ya wanaharakati au pengine wanasiasa ya kudai uhuru wa ZNZ kama wanavyosema. Kwangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Kwa interest tu mnaweza kuona Gwanda at Work, sisi hatuhubiri siasa za porojo, oneni hapa kwenye hii link. The United States African Development Foundation (USADF) provides a grant to...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…