- Mkutano umetawaliwa na mipasho badala ya kueleza maudhui ya mkutano kama walivyotangaza.
- Kina mama wakiongozwa na H. Kopa wanaonekana ndio washangiliaji wakubwa na wengi wao wanaonekana...
Yan hawa jamaa ni wez asee customer care tu unapiga wanakata zaid ya elfu moja hata dakika haiishi; izo vocha zao mwezi hazimalizi wanakata ovyo; cjui hii kampun ilisajiliwa na nan
Ni habari za kusikitisha sana kwamba serikalini bado kuna watu wenye vichwa ngumu na ambao hawajifunzi kutokana na makosa! Kwa kifupi ni kwamba zile kamati za serikali za kushuhgulikia madai ya...
Fursa aliyoipewa na watanzania ya kuwa rais wa taifa Ndugu Ben imempa heshima kubwa na kwa mila za kiafrika yeye ni kama baba kwa watanzania wote. Anayo haki ya kuheshimiwa na watanzania wana...
Sauti ya milio ya mabomu ya machozi ndiyo zinazosikika leo eneo lote la kigogo. Mabomu hayo yanafyatuli na polisi wa kuzuia ghasia yaana ffu yanalenga kuwatawanya watoto wa shule ya msingi kigogo(...
Shoes designed by Kanye West are being sold for tens of thousands of dollars
BANG Showbiz | Thursday, June 07, 2012 (Los Angeles)
A pair of trainers...
Haya wakuu
ktk magazeti ya leo,inaonekana kuenguliwa kwa mzee Chizi ni fitina ya baadhi ya wakuu baada ya Mh huyo wa ATCL kuminya mianya yote ya kula pesa iliyokuwa ikifanywa na baadhi ya wakuu...
DIRA
Umoja wa vilabu nchini, utpc, umeingia katika kashfa kubwa ambapo rais wake keneth simbaye, mkurugenzi wake abubakar kasan na bodi nzima wanatuhumiwa kufuja fedha za umoja huo...
Nduguzanguni wanaJF, Nimeteuliwa kuwa mmojawapo wa waandaaji wa mabango ya kuyabeba kwenye maandamano ya Chama chetu hapo kesho. Naombeni ushauri wa maneno ya kuyaandika kwenye mabango ya...
Nilikua natengeneza mtandao utakaotumika bure na wananchi, ila step ya mwisho nilapata ujumbe huu
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !
Your IP is detected from Tanzania which is an...
Nawashukuru sana wanajf wa DSM nimekaa salama kwa kipindi chote nilichokuepo huku. Sijatoka na totos yeyote lakini nimekuwa impressed na totos wengi sana wapo big in posteriors ambazo kwa kweli...
Read about the incredible event that happened in Brazil. The doctors can not give a scientific explanation.
The 2-years old boy stood by the coffin asked for water and then fell back lifeless...
Nchi yetu Tanzania ni ya ngapi kwa msimamo wa Nchi tajiri Africa jamani?
Ningependa nijue msimamo huu unawekwa kwa muda gani baada ya kutolewa na jarida lengwa.
Na ninakumbuka tulikuwa karibia...
Naomba mtu yeyote mwenye namba ya simu ya waziri wa mambo ya ndani Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi ani-PM please! Namba yake binafsi, siyo namba ya ofisi. Samahanini sana wanajf wenzangu kwa kuwasumbua...
Nape kama kiongozi wa juu wa ccm amekuwa akitoa kauli za ajabu sana, huyu kijana nashindwa kuelewa ni vipi alipewa hiyo post, kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hapaswi kutoa kauli za ovyo kama...