Wakuu habarini za kazi,Nilikuwa nawaza hili kama serikali bajeti yake inategemea sana vinywaji kama pombe na sigara basi serikali haina budi kuwaheshimu wanywaji(walevi) na makampuni yao...
Watanzania wenzangu kuna wizi mpya unaotumiwa na kampuni inayotoa huduma kushirikiana na makampuni yetu ya simu za mnkononi inayojitangaza kupitia radio ya clouds FM, kwamba wanauza magari...
Habari nilizozipata kutoka Jukwaa la Wahariri zinasema Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Willy Edward amefariki dunia ghafla usiku wa leo mjini Morogoro. R.I.P Willy
Kibaki in Brazil for UN summit
Posted Wednesday, June 20 2012 at 09:42
President Kibaki is in Rio De Janeiro, Brazil, for the United Nations Conference on Sustainable Development.
The...
Pamoja na ubaya wote wa EL ktk uongozi wake (JK akihusishwa pia) afadhali mara kumi kuliko hii adha tunayopata kutoka kwa mkuu wa kaya.
EL ana misimamo yake na mapungufu yake. Lakini ukiwaweka ktk...
Rais wa CWT ndugu Mkoba amekuwa ni bigwa wa maneno zaidi kuliko vitendo. Inavyoonekana ndg, huyu amekuwa akilichukulia suala hili kama sehemu mojawapo ya kitega uchumi chake, kwan uzoefu...
JF wadau
kuna jambo bado silielewi juu ya wabunge walio DODOMA ktk kipindi cha bajeti,utasikia mbunge anasema naunga mkono bajeti kwa 100%,lakini mwisho wa siku mbunge huyohuyo analalama kuwa...
Nakumbuka kuna kipindi fulani pale ubungo kulikuwa kweupe ila kuanzia juzi kama sikosei wale jamaa wameanza kuonekana kwenye ile kona ya kwenda mwenge kama unatoka kimara.
Hofu yangu, taratibu...
Sakata hilo lilitokea nje
ya ukumbi wa Bunge
mara baada ya
kuahirishwa kwa kikao
juzi usiku, ambapo
Wassira alimfuata
Bulaya na kumhoji
kwamba kwanini alitoa
maneno ya kuipinga
bajeti ya...
Walevi TZ ndio wachangiaji wakubwa wa pato la Taifa ila wanadharauliwa na kutothaminiwa, kila Mwaka bei ya vilevi huongezeka, bei ya sigara kadharika. Walevi hawalalamiki. Kwa hili natoa ushauri...
Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji.
June 20, 2012
Posted in: Habari vyanzo mbalimbali
Leon Bahati
RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello...
Wana JF,
katika pitapita zangu mjini morogoro nimesikia tetesi kuwa ile taasis iliyopewa majengo ya kilichokuwa chuo cha Tanesco pale Morogoro inapanga kufanya dua maalum ya kumuombea baraka Rais...
Wakuu heshima mbele,
Naomba kuuliza swali moja kwa anaejua. Muhingo Rweyemamu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe hivi karibu na Salvatory Rweyemamu a.k.a Salva ambaye ni Mkurugenzi...
Mbunge wa Kisesa, Joelsn Luhaga Mpina anasema hataiunga Mkono Bajeti ya Serikali kwa sababu imeenda kinyume na Azimio la Bunge ambapo yaelekea Bunge lilikubaliana kiasi fulani cha fedha kitatengwa...
Kuna habari kwamba wafanyakazi wa kampuni ya habari corparation imekumbwa na mgogoro wa kidini baina ya wauminhi wakikiristo na waumini wa dini ya kiislam baada ya wafanyakazi wa kiislam kupinga...
Hatimaye aliyekuwa Mhariri wa Jambo Leo Willy Edward anaagwa sasa viwanja vya Mnazi Mmoja, Kibanda, Pinto amewaliza watu kwa hotuba za kusisimua. Nawasilisha
Nawaomba wataalamu wa mimea (botanists) na watu wenye kutambua mimea wanitoe hofu kuhusu mmea huu. Umeota katika barabara kuu za Mhesh. J.P. Magufuli ndani ya jiji. Nimevutiwa nao baada ya kukuta...
Hatimaye mama yake wema adai atadili na gazeti lolote litakalo andika habari yoyote ya kumchafulia jina wema sepetu! Akifunguka ndani ya kipindi cha Take One kinacholushwa na clouds tv! amedai...