Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maeneo lindwa jijin dar, yamebomelewa kwa sababu nyumba zimejengwa maeneo yenye mikoko, mto mbezi, nyumba zimebomolewa manispaa ya kinondoni.. Na maeneo mengine yaliyondani ya mita sitini toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi nilisafiri kwa ndege ya 540 ambayo ilikuwa iondoke Mwanza tarehe 21/5/2011 siku ya Jumatatu saa 7 mchana. Abiria walianza ku check in tangu saa 5 na nusu na kusubiri. Muda wa kuondoka...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Huku chama cha walimu kikiwa bado kimya kuhusiana na mgomo wa walimu.Walimu mkoani Dodoma wameanza mgomo huo kimya kimya katika shule mbalimbali za mkoa huu. Nikiongea na baadhi ya walimu ambao...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Jeshi letu la Polisi limekuwa likilaumiwa kila siku kutokana na utendaji wake mbovu unao pelekea kuonekana kama chombo cha kunyanyasa raia wema wasio na hatiya.Hali hii imesababisha wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwanza kabisa napenda kushukuru Serikali yetu kwa kuruhusu freedom of speech. Kuna kisa kimoja, kwa wale wapenzi wa Movies kuna mchezo unaitwa TROY nyota wake akiwa ni Brad Pitt. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia Taarifa ya habari ya ITV tarehe 3/7/2012 mara nikamuona kijana mmoja akitoa ushuhuda wa kuwa alikuwa anachimba dhahabu huko Mara karibu na mgodi wa North Mara mara wakatokea...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nchemba anasema ameuza vx v8 lake kununua motor za maji kwenye vijiji kama kumi hivi! Then anasema leo 'sijapandisha jazba maana naongea mambo ya msingi'. Kisha anamkumbusha spika kuwa 'siku...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
KWA NINI WAISLAMU WANAKUSUDIA KUSUSIA SENSA 2012? Ni nini kilichotokea? Ni jazba au wana hoja?Katika gazeti la Tanzania Daima la 16 Juni 2012, mwandishi mmoja aiitwaye Ratifa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kutokana na umuhimu wa tanesco kwa taifa hili, nawashauri wafuate mfumo wa makampuni ya simu kwa kuanzisha huduma ya kuongeza salio la luku kwa kurusha kwani itapunguza kero kwa wateja wenu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia -...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
TAKWIMU ZA UTOWAJI MAONI KUSINI UNGUJAWritten by Ahmed Omar Khamis // 10/07/2012 // Habari // No comments TAKWIMU ZA UTOLEWAJI MONI, TUME YA MABADILIKO YA KATIBAMKOA WA KUSINI UNGUJA S/N...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Kundi la majambazi wamevamia hoteli iitwayo Ikoma Bush Camp na kuwapora wageni wote mali zao then wakamuua mzungu mmoja na meneja wa hiyo lodge ambaye ni mtanzania, imetokea usiku wa kuamkia leo.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi ni kwa nini serikali au makampuni au watu wa kawaida huwa wanaandika TSH (Tanzanian shilling) pale wanapotaja bei ya kitu? Kwa nini wasiandike tu Sh bila T? kwani tupo Tanzania kuna haja gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku ya Ijumaa tarehe 13 Julai 2012 kuanzia saa 4:00 asubuhi (10.00 Hrs EAT) Taasisi ya Raia ya Haki za Kisiasa na Mwenendo wa Bunge (The Civil and Political Rights Watch) itatoa taarifa juu ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mon, Jul 9th, 2012 Tanzania | Dar es Salaam-based Tanzania Heart Institute (THI) properties were sold at a public auction yesterday following the High Court's (Land Division) order to recover...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
magwanda,mbona waoga ivyo wazee, maana ya makamanda ni nini? mnatakiwa muwe ngangari,sio kutishiwa kidogo tu ohh wanataka kutuua,makamanda awatakiwi kuogopa,ogopa vitisho bana,makamanda wa wapi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kutafakari nimegundua kikwete si dhaifu ila sisi watanzania Watanzania tunaporojo na wanafiki kwa mambo ya msingi. Ninamaanisha kilichotufanya tumchague Kikwete licha ya udhaifu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…