Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ronn M, Jul 10, 2012.

 1. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nchemba anasema ameuza vx v8 lake kununua motor za maji kwenye vijiji kama kumi hivi! Then anasema leo

  'sijapandisha jazba maana naongea mambo ya msingi'. Kisha anamkumbusha spika kuwa 'siku saba' zimepita kwa

  ule ushahidi wa Mnyika!

  Kumbe,

  1. Kama Vx V8 moja linanunua motor kwa zaidi ya vijiji kumi, je yakiuzwa mia?

  2. Kumbe Mwigulu kwa akili zake huwa anaamua kupandisha jabza akiwa anaongea mambo yasiyo ya msingi.

  Hii ndio akili ya CCM!
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Alikopa ya nini kwanini mpaka apoteze muda wa kuiuza kwasababu lazima itakuwa ime depreciate
   
 3. Y

  Yangtze Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika mh. Mwigulu amekuwa mfano wa kuigwa baada ya kusema bungeni kuwa ilimlazimu kuuza gari yake aina ya vx v8 na kununua pampu ya maji kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake.

  Ameyasema hayo wakati wa kuchangia bajeti ya maji.
  Hebu tujiulize ni wabunge wangapi wenye moyo wa kuuza magari yao na kuhudumia wananchi wao.

  Hakika ni wachache tena sana na kwa hili mwigulu unastahili pongezi. Wana iramba tumepata jembe.!!!!!!!!!!!!!
   
 4. C

  Careboy wamuntere Senior Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anastahili pongezi, kwani wenye moyo wa uzalendo wa kweli wapo wachache, wengi wanatumikia matumbo tu.
   
 5. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  huyu ameshakiwa kubwa jinga hata umpambe vipi ameshachafuka. NI GAMBA TU
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Je, ni kweli kwamba Mbunge anapaswa kuleta maendeleo ya wananchi wake kwa kutumia pesa yake binafsi ?
   
 7. Y

  Yangtze Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu. Ifike sehemu waTz tujenge culture ya kupongeza wenzetu wanapofanya jambo la kujenga regardless of our political ideology.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  taken
  as opinion,,,,,,kuuza vx v8??????mmmh,,,,,au alikua na mambo mengine ndo kaungia humohumo????
   
 9. Y

  Yangtze Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbunge halazimiki kutumia fedha zake kwa maendeleo ya wananchi kwa sababu serikali ipo. Lkn kama serikali inachelewa kuleta hayo maendeleo na mbunge anaona hilo jambo liko ndani ya uwezo wake, basi ni vyema kama ameguswa afanye...sii dhambi bali ni mfano wa kuigwa
   
 10. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naona kuna thread nyingine kama hii, mods unganisheni pls
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Naamini kuwa kazi ya Mbunge ni kuwasilisha matatizo ya jimbo lake kwa serikali na kuwawasilisha na kamwe si kuchangia katika miradi mbalimbali ambayo serikali inatakiwa kimsingi kuitekeleza.

  Kuchangia huko kwa wabunge ni kukaribisha rushwa hasa wakati wa uchaguzi, ili yule ambaye anayeweza kuchangia zaidi aweze kuchaguliwa.

  Vilevile kitendo hicho kinachangia kwa wabunge kushiriki jatika mambo ya rushwa ili wapate pesa za kuchangia na vilevile kuwahonga wananchi.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bila kuremba maneno naomba nimwambie Mwigulu Mchemba kuwa ameuza gari yake kwa sababu ya upuuzi wake. Kazi ya mbunge ni kuisamamia serikali kwa niaba ya wananchi wake. Na kama sio upuuzi wa Nchemba na ushabiki wa kijinga wabunge wangeibana serikali ili itenge 35% ya bajeti kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Sasa wameicha na kilichobaki ni ngonjera bungeni.

  Na bado, itafika siku huyu mchumi daraja la kwanza atauza hiyo scarf anayofunga shingoni kununua dawa kwa wananchi wa jimboni kwake. Waombe mungu sana ukame usitokee mwaka huu kama ilivyotangazwa, kama tutakumbwa na ukame wabunge wa CCM will go down the drain.
   
 13. m

  maswi d Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa jamaa kumbe wanajua wanachokifanya huwa ni upuuzi?
   
 14. Y

  Yangtze Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaaaaahhhh Kiongozi....the guy is not of that character....baniani mbaya lkn kiatu chake dawa!
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Inapendeza ni mfano wa kuigwa.

  Binadamu hawezi kuwa mbaya kwa kila jambo
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​si kwa sababu ana zile pesa za epa kwa nini hasimamii pesa za bajeti kama ni mzalendo serikali dhaifu huzaa wabunge dhaifu kama huyu
   
 17. Y

  Yangtze Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu kama serikali hairespond na jambo linalotesa mamia ya watu unaona liko ndani ya uwezo wako na wewe ni kiongozi wao unafanyaje?
   
 18. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka!!.
   
 19. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,290
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180


  swala ni kwamba Je ni kweli au n hadisi za BUNUASI maneno ming tu ili aonekane anjitoa kwa wanainch kumbe SIasa mingi TU
  .

  NA KAMA ALIFANYA HIVYO BASI N KTK ZLE CHENJI ZA EPA ZILIZOBAKI NDO ALIFANYIA HIVYO NA C KWA KUUZA VX-V8 KWA UZALENDO GAN WA MAGAMBA HAWA TUNAOWAJUA!!!!!???????????????
   
 20. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mwenye macho haambiwi tazama! Haichukui akili nyingi kutambua kipi ni rushwa na kipi ni uzalendo.
   
Loading...