Tbc, MAENEO LINDWA DAR BOMOA BOMOA IMEANZA

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
Maeneo lindwa jijin dar, yamebomelewa kwa sababu nyumba zimejengwa maeneo yenye mikoko, mto mbezi, nyumba zimebomolewa manispaa ya kinondoni.. Na maeneo mengine yaliyondani ya mita sitini toka kingo za bahari.. HAKUNA FIDIA
 
nyumba zote zilizoko maeneo hayo ambayo ni lindwa.. bomoa bomoa inaendele..a na zoezi ni endelevu..
 
Tujifunze wale tunao anza maisha nakutafuta viwanja na kujenga tujaribu kuuliza mamlaka husika juu ya uhalali wa viwanja vyetu kabla ya kununua ama kujenga.
 
Back
Top Bottom