Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wana JF, mara nyingi nimekuwa nikifikria na kutafakari juu ya imani na huruka hii yawanadamu si Africa, ulaya, marekani, na asia. Binafisi wanadamu kweli tumepewa karama tofauti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni murefu sasa naona kila nikiingia Petro station nikiomba risiti kwanza wananishangaa sana na pili wananipa za kuandika kwa mkono ambazo unaweza fanya lolote .Mie najiuliza inakuwaje TRA wawabane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ajali mbaya imetokea Arusha leo hii, maeneo ya Burka - Redds na kupelekea takribani watu sita kufa. Chanzo cha ajali inasadikiwa ni poor overtaking baada ya dereva wa Hiace No. T706 BFE alipokuwa...
2 Reactions
35 Replies
10K Views
Nafikiri tukutane angalau ata kwa kuchangia na kupangilia eneo fulani. Tuchague Viongonzi wa kuratibu hii kitu. Nasema hivyo kwakuwa: jf inawatu wenye uwezo mkubwa wa kutafakari na kufumbua mambo...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Kuna uharibufu wa hali ya juu umefanyika Kibamba, maji yanamwagika hovyo, mabomba yamekatwa hovyo na hii ni mara ya tatu ndani ya mwaka na kila mara tulilazimika kuchangishwa ili turudishiwe maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF, Leo nimebahatika kupata kitabu hiki hivyo nikaona niwashirikishe. Hii si kwa sababu wengine wote hawajawahi kukiona wala kukinunua bali nahisi kuwa wengi hatujakipata. Huvyo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAU kampuni ya uwindaji wanyama pori ya Mwiba holding inayomilikiwa na wakili maarufu nchini,Nyaga Mawala ,kwa mara nyingine askari wake wamempiga risasi mfugaji na kumtupa porini ,hii ni mara...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
CNN) -- The thunderous sound of more than a million wildebeest trekking across wide open plains in the Serengeti is not one you're likely to forget. Tanzanian safaris serve up all kinds of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napata shida sana kutafakari jambo hili:Awali nilifikiri ubunge ni uwakilishi wa wananchi Bungeni, lakini sasa mbona waheshimiwa hawa wengi wao hawaonekani majimboni mwao saa ngapi wanapata hizi...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
habarini wakuu kwa yeyote anayejua matokeo ya TCU selection anijuze kwa sababu naingia cost za bure kutoka kijijini kwetu suji mpaka same mjini kutafuta access ya internet afu nakuta empty,nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefungulia Radio One nikakuta ndo kwaanza tarifa yenyewe ya 'Habari Mpasuko' inamalizikia so sikupata content, kwa aliyesikia taarifa kamili naomba atujuze hapa tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakazi wa kata ya Misalai, Tarafa ya Amani wilayani Muheza wamependekeza kuwepo kwa kipengele cha adhabu ya kumwagiwa maji ya baridi na kisha kuchapwa viboko kwa mbunge atakayesinzia akiwa kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa uvccm singida anasema chadema ndo kimehusika na mauaji na watanzani wasikiamini CDM MPO WAPI?
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Its ma birthday to day. I thank the Almight God for this wonderful n special day. I also thank u all ma friends in JF for being so kind n stress remover when am down. Cheers
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hivi inawezekana Mchungaji ameamua kukanusha kuhusishwa kwake na mtu anayetuhumiwa kuhusika katika sakata la kumteka na kumtesa Dr. ulimboka baada ya kutafakari udogo wa kile alichoahidiwa na...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Bunge linaloendelea na kikao chake mjini Dodoma, juzi liliambiwa kwamba Serikali imetenga Sh9 bilioni kwa ajili ya kugharamia matibabu ya viongozi wakuu wastaafu. Akihitimisha mjadala wa hotuba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Joshua Mulundi | Facebook en-gb.facebook.com/mulandij Joshua Mulundi has worked at UN (GIS Specialist), studied at Manchester Metropolitan University and lives in Nairobi, Kenya. Join Facebook...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Balozi Jaka Mwambi wa nchini Urusi alinusurika kuangukiwa na paa la nyumba ya ubalozi. Inasikitisha sana ukiona jinsi ubalozi wetu ulivyo kwani umechoka sana na ajabu ripoti ya mkaguzi mkuu (CAG)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka jana jioni mjengoni nimeamini ana uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi. hii hapa safu yangu ya 2015. Rais - Edward Lowassa Waziri Mkuu - Prof Tibaijuka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamii Forum, jukwaa huru. Hakikisha unawajuza na kuwaunganisha ndugu,jamaa na marafiki. Information is power, kwa habari sahihi na makini hakuna jinsi hatutafika tunakotaka kwenda. Hebu watanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…