Jamani hii kampuni ya wakili Mawala vipi

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
WADAU kampuni ya uwindaji wanyama pori ya Mwiba holding inayomilikiwa na wakili maarufu nchini,Nyaga Mawala ,kwa mara nyingine askari wake wamempiga risasi mfugaji na kumtupa porini ,hii ni mara ya tatu kulalamikiwa ,sasa kwanini serikali isimbane ama kwa vile ni wakili,hakuna hatua zinazochukuliwa.
 
Wakubanwa ni Askari aliyefanya hicho kitendo au ni mwenye kampuni? Arusha Leo inaelekea mfanyakazi wako akibaka utakuwa tayari kubeba mashtaka yake kama unavyoshauri Mawala ashtakiwe kwa kosa la mfanyakazi wake. Kama una maelekezo toka kwa Mawala kwenda kwa ASkari inayomwamrisha kuua lete huo ushahidi
 
Last edited by a moderator:

Wakwanza kubanwa ni Mawala kama mwajiri wa huyo askari utajuaje askari amepewa order ya kupiga risasi kesi nitapambana nayo.
Mkuu kwani umesahau viburi walivyonavyo mawakili wetu,Anagonga mtu anakufa analipa laki 8 tu kwishney,Wazee wa vijesent.
Au ndo umerudi home kutoka Diaspora teteteteteh.
 
Mimi nilishaongelea hili la Mwiba holding nikaonekana sina fact, but ukweli ni kwamba Mawalla ana nguvu sana na ana hela sana so anaweza akafanya chochote.Ameajili makaburu kama masection manager na makaburu hawana shida hata kidogo kipiga na kuua maana wana roho ya kinyama. Lakini haina shida Mwiba holding ndo ilitoa Land cruser mpya kwa mkuu wa wilaya so watu wa Shinyanga kuweni macho mtakwisha
 
wakwanza kubanwa ni mawala kama mwajiri wa huyo askari utajuaje askari amepewa order ya kupiga risasi kesi nitapambana nayo.
Mkuu kwani umesahau viburi walivyonavyo mawakili wetu,anagonga mtu anakufa analipa laki 8 tu kwishney,wazee wa vijesent.
Au ndo umerudi home kutoka diaspora teteteteteh.
ni sheria tu mkuu, ukigonga na kuu kwani sheria inasema adhabu nini..kuna askari aliniambia adhabu ni faini ya 25,000 kwa kichwa...tuanze na kubadilisha sheria zilizo pitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom