Nisaidieni hili kwa nini TRA wako hivi

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ni murefu sasa naona kila nikiingia Petro station nikiomba risiti kwanza wananishangaa sana na pili wananipa za kuandika kwa mkono ambazo unaweza fanya lolote .Mie najiuliza inakuwaje TRA wawabane walala hoi na kulioa kodi lakini hawa watu wa mafuta wao hawana risiti wala machine za TRA zenye kuhakikisha kodi inalipwa ipasavyo .Kuna vituo kadhaa nimesha wahi kuhoji sana mwisho wa siku wanasema boss kasema tusitumie hizo au wanasema machine ni mbovu ukiwabana sana wanasema wenye biashara zao hawataki zitumike hizo risiti so wana hujumu .Naombeni utaratibu kwenye hili tuone ukweli wake na TRA waseme inakuwaje pamoja na utaratibu wa machine sisi tunakipa kodi lakini wenye mafuta yaani wauzaji wanakataa kutoa risiti za TRA .Ushauri unaombwa tafadhali .Na upande wa TRA majibu kamilifu tupeni sisi walipa kodi .
 
Hata mimi niliwahi kupata hili tatizo. Lakini nilikuja kupata risiti na nilivyokuja kuangali nikagundua kuwa risit za mafuta hazina mambo ta tax ndio maana wauza mafuta wengi awataki kuangaika nazo. inadaiwa kuwa mafuta yalishalipiwa kodi.
Wewe jaribu kucheck risiti utaona amna mambo ya Tax
 
Back
Top Bottom