Silaha ya mapinduzi tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Silaha ya mapinduzi tanzania.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanahisa, Jul 15, 2012.

 1. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamii Forum, jukwaa huru.
  Hakikisha unawajuza na kuwaunganisha ndugu,jamaa na marafiki.
  Information is power, kwa habari sahihi na makini hakuna jinsi hatutafika tunakotaka kwenda.
  Hebu watanzania tuwe chachu ya mabadiliko yetu wenyewe, kwa faida ya nchi na uzao wetu.

  Takwimu;
  Washiriki wenye usajili wa JF hadi sasa ni 83,663 tu
  na tunahitaji washiriki angalau 100,000 kukaribia malengo.
  Tanzania tunayoitaka inaanza na wewe mtanzania.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu kumbuka hadi Nape, Mwigulu Nchemba nk na wao ni memba wa JF sasa sijui na wao unawahesabia katika kuleta mabadiliko au?
   
Loading...