Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Kuna uharibufu wa hali ya juu umefanyika Kibamba, maji yanamwagika hovyo, mabomba yamekatwa hovyo na hii ni mara ya tatu ndani ya mwaka na kila mara tulilazimika kuchangishwa ili turudishiwe maji na hela tunayolipa wala hatupewi risiti.