tcu matokeo

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
habarini wakuu kwa yeyote anayejua matokeo ya TCU selection anijuze kwa sababu naingia cost za bure kutoka kijijini kwetu suji mpaka same mjini kutafuta access ya internet afu nakuta empty,nawasilisha
 
Ingia kwenye page yao kwa internet kutumia simu yako! Utapata information zote badala ya wewe kuandika jamvini.
 
dogo endelea kuwasaidia wazazi kazi ili wawe wanakukumbuka na waweze kukutumia pesa ok matokeo BAAADAE SANA tupo busy na SENSA. cheki after sensa
 
Back
Top Bottom