"Wabunge (wanaolala bungeni) wachapwe viboko" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Wabunge (wanaolala bungeni) wachapwe viboko"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uncle Jei Jei, Jul 15, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Wakazi wa kata ya Misalai, Tarafa ya Amani wilayani Muheza wamependekeza kuwepo kwa kipengele cha adhabu ya kumwagiwa maji ya baridi na kisha kuchapwa viboko kwa mbunge atakayesinzia akiwa kwenye kikao bungeni...pia wamependekeza adhabu hiyo itolewe kwa mbunge husika huku ikionyeshwa kwenye luninga na pia wasiruhusiwe kugombea kipindi kijacho! Hayo yamesemwa na wanakijiji hao wakati wakitoa maoni yao kwa wajumbe wa Tume ya maoni ya marekebisho ya katiba!! Big up kwa waliotoa hayo maoni. CHANZO: MWANANCHI J'PILI TAR.15/07
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mzee wa toti upo
   
 3. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,932
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Du! Hiyo kali
   
 4. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wakuu mimi ni mwalimu wa nidhamu hapa skonga kwetu hivyo naomba hilo dili la kuwacharaza viboko hao jamaa wa mjengoni, watakomaje? tenda ya kuwamwagia maji wapeni DAWASCO.
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  wananchi wa Bunda sijui kama wataliafiki hili swala.
   
Loading...