Ze Coedy ya Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ze Coedy ya Dr. Ulimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjanga, Jul 15, 2012.

 1. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Hivi inawezekana Mchungaji ameamua kukanusha kuhusishwa kwake na mtu anayetuhumiwa kuhusika katika sakata la kumteka na kumtesa Dr. ulimboka baada ya kutafakari udogo wa kile alichoahidiwa na serikali ikilinganishwa na
  mavuno yanayotokana na sadaka ya waumini? hii ni kusema kwamba angeendelea na serikali angepoteza waumini
  wake na kushusha kiwango cha kipato kanisani?
  Tunasubiria mwendelezo wa hii muvi..what will Kenyans' government say??
  ni aibu sana kwa Nchi!
   
Loading...