Baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka mjengoni hii hapa safu yangu ya 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka mjengoni hii hapa safu yangu ya 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PauliMasao, Jul 13, 2012.

 1. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu, baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka jana jioni mjengoni nimeamini ana uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi. hii hapa safu yangu ya 2015.

  Rais - Edward Lowassa
  Waziri Mkuu - Prof Tibaijuka

  Jaza nafasi zilizobakia.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Lowasa kwa utendaji mimi nampa A..lakini shida yake ni mambo ya hela tu basi ila kazi anaweza jamaa..mnyonge mnyongeni....anamzidi pinda mbaaliiii sana kabisa...
   
 3. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Pelekeni upuuzi wenu huko
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa upande wa CCM hao ndio golden people waliosalia 100%
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Jamani kiukweli Dr Slaa hana mpinzani katika urais 2015.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Josephine na Rose.
   
 7. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Umenena. Waache watapetape.
   
 8. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu sina tatizo na ubashiri wako unaoutamani utokee.
  • Mie nina mashaka na wewe na vigezo vyako ulivyotumia..
  Yaani umeshawishika na maneno ya hotuba na kumuona tayari anafaa kuwa waziri mkuu?

  • Indicator yako ya utendaji wa kazi ni: Maneno mazuri! Aisee...........
   
 9. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Nchi ina watu millioni kadhaa wenye uwezo,
  Ndani ya CCM kuna zaidi ya Edward Lowassa.

  Mwaja na jina la Mwizi mzoefu Edward Lowassa.
  Kawapa nini huyu mwizi?

  Wajua kwamba Kiongozi wa Mafia pia ni mwerevu kuliko marais wa nchi nyingi duniani?
  Afaa nini kama werevu wake ni Mtaji wa umasikini na mauti?

  Ni Hizo $150,000.00 kwa siku??
  Alotukomba kupitia kampuni ya Richmnd na baadaye Dowan??

  Edward Lowassa ni Nuksi, sumu ya maendeleo na mwanzo wa utumwa mpya.

   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  wenzio walishajiridhisha kuwa Lowasa hahusiki na Richmond cum dowans wewe bado inaweweseka hapohapo?, tafuta kisingizio kingine cha kumchafua la atawashangaza wote wenye mawazo kama yako..........................
   
 11. M

  Maroune Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huko ndan ya chadema 2 wanapgana, kila mtu antaka kugombea urais
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Rais - Dokta wa Kanoni Slaa
  Waziri Mkuu - Rose Kamili

  Waziri wa Fedha - Josephine
   
 13. s

  shakuur New Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umemsahau Dr Magufuli
   
 14. L

  Lugwal Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo uchokozi....mi Dr.Slaa ndio Raisi na Mnyika waziri mkuu....
   
 15. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  umenena vyema kabisa
   
 16. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mwajichanganya kwa mara ya pili.

   
Loading...